Rai: Kapuya asamehewe...!

Rai: Kapuya asamehewe...!

No APOLOGISE ,NO TIME FOR DIPLOMACY ITS TIME FOR ACTION AGAINST THIS SON OF THE B.ITCH.
 
alhaji kafanya naona watu wanchukulia poa! angekuwa padre ndio kafanya tisinge kaa hapa JF kwa kashfa nzito!

Mkuu huyu alhaji sio kiongozi wa dini kama unavyotaka ku mu equate na padri kwanza hata swala tano humo hamna,Hijja kama alienda kwa kuwa ana uwezo tu huyu wala sio kuwa ni mcha
mungu,huwezi kuwa alhaji ukawa na bendi ya muziki watu wanywe na kumuasi Mungu kwa mgongo wako NEVER!!!!!!!

Nevertheless hata angekuwa ni imam kafanya hilo hakuna muislam angekaa upande wake!!!!

Mimi ni muislam na hili napinga asilimia zote mpaka tone la mwisho la damu yangu!!!!
 
Nakumbuka ile hotuba na Hayati Nyerere aliyosema kwamba Waziri mmoja wa Uingereza alionekana RED STREETS. Ilipojulikana akaandika barua ya kujiuzuru lakini PM wa Uingereza hakusumbuka hata kumjibu akachagua mtu mwingine badala yake.

Leo hii CCM ambayo haina maadili inamtetea na kumficha Mbunge ambaye kwanza amembaka mtoto, pili amemuambukiza UKIMWI makusudi. Yote hayo ni makosa kubaka na kuambukiza UKIMWI deliberately.

Jamani nyinyi CCM mnaipeleka wapi nchi hii?! Spika Makinda ukiwa kama mwanamke umeshindwa kabisa kumsaidia mtoto huo kwaajili ya kuilinda CCM, Mfumbia dhambi naye ni mtenda dhambi. Makinda huna tofauti na Kapuya aliyebaka na kumuambukiza UKIMWI huyo underage. Kweli vyeo vya kuzawadiwa vinadhalilisha utu wenu wanawake including wa mama wote mliopewa UBUNGE kwaajili ya kustarehesha jinsia ya ME! (read Viti maalumu).
 
Hivi tuna uhakika kwamba Prof. Kapuya ana ukimwi? Nani amempima na anaweza kuthibitishs hilo hapa? Yaani yaliyotamkwa na mhudumu wa jengo Mwananyamala ndio imekuwa reference na ukweli kwamba Prof. ana ukimwi?

Najua kitendo alichokifanya sio kizuri cha kubaka lakini hili la ukimwi, mmmhhh?!!!!

Tiba
 
Kazi kwelikweli!! Inaonekana amewaambukiza ukimwi wengi!!! Kumbe hii ndiyo ilani ya CCM!!



Kapuya4.jpg

Angalia Mkono wa kushoto ulipo na kazi unayofanya, binti amekoleaaaa! Aaaha wafwaa!!
 
Yan hili zee sijui likoje, ni kichaaa na zezete, amebaka mtoto, au kw sababu ya mambo ya kishirikina?

Namsifu Lema alimbaka yule changudoa (hili linajadilika)

Bila kutaja jina la Lema hujisikii raha, ungekuwa mwanamke ningesema labda alikufanya vibaya!! Punguza kutoka nje ya mada.
 
Hivi tuna uhakika kwamba Prof. Kapuya ana ukimwi? Nani amempima na anaweza kuthibitishs hilo hapa? Yaani yaliyotamkwa na mhudumu wa jengo Mwananyamala ndio imekuwa reference na ukweli kwamba Prof. ana ukimwi?

Najua kitendo alichokifanya sio kizuri cha kubaka lakini hili la ukimwi, mmmhhh?!!!!



Tiba
Unapointi ya maana, ushauri wangu kwa huyu Mzee Mkware, aende angaza akajicheki halafu aende habari maelezo akakanushe vinginevyo hii habari itaendelea kuwa ya kusadikia.
 
Hebu tujiulize swali moja kama babu Seya alihukumiwa fasta fasta kwenda jela maisha yake kwa tuhuma za kuvibaka vitoto vya shule,ni kwa nini huyu Kapuya asikamatwe na kurundikwa ndani hadi hivi sasa?

Kama hilo la kumkamata na kumfungulia mashitaka ya kubaka Kapuya lisipofanyika haraka iwezekanavyo,tafsiri tutakayopata waTZ ni kuwa kumbe hata ibara iliyomo kwenye katiba ya Jamhuri ya Tanzania,inayosema watanzania wote wako sawa mbele ya sheria kumbe nayo ni maigizo,kwa kuwa in reality ndani ya TZ wapo watu wapo above law,kama alivyokiri mwenyewe Kapuya,kuwa wao.ndiyo wenye nchi,hawawezi kufanywa lolote,na zaidi ya yote ametamba kuwa yeye ndiye the next PM,after 2015 general elections!!

Sasa nimeprove beyond reasoanable doubt kuwa madudu yanayofanywa na watawala wetu hapa TZ,yanaweza.kabisa kuyafanya yaqualify kuwa miongoni ya Guiness World records!!

We hii nchi huijui kwanza Kapuya ni mwenzetu.. sio mchaga angekuwa mchanga au mgalatia ungesikia habari yake.. Pili siku hizi ukitaka kuwa mharifu wewe huwe mwanachama wa CCM tu hakuna wa kukugusa..
 
Kazi kwelikweli!! Inaonekana amewaambukiza ukimwi wengi!!! Kumbe hii ndiyo ilani ya CCM!!

7515210_orig.jpg

Hii picha itamletea shida sana Dokii na atajutia sana kupiga picha kama hii maana saizi lazima watu wanajua jamaa keshakula mzigo na kumpa miwaya kama alivyofanya kwa hako katoto ka miaka kumi na sita.
 
inatakiwa hatua za haraka zichukuliwe , kabla ya masuala kuendelea inatakiwa aachie ngazi ya ubunge ili kupisha upindishaji wa haki..
 
Mwenyezimungu mkubwa........kosa la kapuya copyright na babu Seya tena yeye kazidi kamsababishia dogo donda la maisha kwa kumuambukiza ngoma makusudi!!,hata asipohukumiwa juu ya ardhi hii we shall meet there in judgement day!!
 
Hivi tuna uhakika kwamba Prof. Kapuya ana ukimwi? Nani amempima na anaweza kuthibitishs hilo hapa? Yaani yaliyotamkwa na mhudumu wa jengo Mwananyamala ndio imekuwa reference na ukweli kwamba Prof. ana ukimwi?

Najua kitendo alichokifanya sio kizuri cha kubaka lakini hili la ukimwi, mmmhhh?!!!!

Tiba

kwahiyo angebaka tu bila kumuambukiza ngwengwe poa?
 
Duh izi laana nyingine, Lema yeye alibaka haitoshi kaliwa witi. Leo tumeamka kapuya kabaka. Hii nchi inafika mwisho.

Hili sio swala la kupuuzia, ccm na chadema fukuzeni hao takataka
 
Back
Top Bottom