Kwa maelezo ya awali, mtoto huyo yatima (14) aliambiwa na wenzake ajaribu kumtafuta Mweshimiwa Juma Kapuya kupitia kwa reprentative wake ili amsaidie kwani amesaidia watu wengi sana hasa watoto yatima.
Tafsiri hii inaonyehsa Jamaa alikuwa kaanzisha taasisi ya kuwasaidia watoto Yatima ki-ngono: Huu uwe mfano jamaa ashitakiwe na apate hukumu yake inayoendana na matendo yake. ili ajue kwamba cheo huwa ni dhamana tu.
CCM kwa sababu huyu ni kada wenu, jitokezeni mbele ya umaa mkemee na mumnyanganye kadi ya uanachama haraka sana ili sisi umma wa watanzania tujiridhishe kwamba na nyie mmekerwa / mmeguswa na kitendo hiki alichofanya kiongozi huyu aliyewahi kushika nyadhifa nyeti serikalini.
Pole mdogo wangu, siyo kosa lako kuingia mtegoni, ulitegemea unaenda kukutana na mtu kama baba /babu yako pale hotelini kumbe ni Mbwa mwitu aliyevaa sura ya kondoo.
Hata hivyo nakupongeza kwa moyo wako wa ushupavu kutafuta haki yako ili sheria ichukue mkondo wake bila kutetereka regardless umri wako mdogo na vitisho ambavyo umekuwa ukivipata. Pole sana. its too sad.