Raha za Peponi

Raha za Peponi

Status
Not open for further replies.
Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.

Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha
Unajua kauli nyingine za vitabu vya dini mtu anatakiwa awe na elimu nyingine ndio aweze kuelewa.
Mfano: Ukiambiwa peponi kutakuwa na vitu vyote binadamu wanavyotamani kuvipata.
Sasa hapo kila mtu anatafsiri anachokitaka na watakapo muuliza mshehereshaji majibu ni ndio....
Mfano:
Kutakuwa na farasi huko peponi; watajibiwa ndio
Kutakiwa na wanawake bikra huko; atajibiwa ndio
Kutakuwa na asali huko; jibu ipo nyingi tu (ndio)
Kutakuwa na wanaume bira huko; atajibiwa ndio
KIMSINGI UNATAKIWA UWE NA MAARIFA AU UWE NA ELIMU MBALIMBALI KUWEZA KUELEWA KWA UZURI.
 
Nimekutana na baadhi ya clip za mashehe, wakielezea namna wanakopaita peponi kutakavyokua na starehe kwa watakaoenda.

Moja kati ya starehe walizozitaja ni kuwepo kwa mabikra wa kutosha kwa kila mwanaume, swali langu ni je? Wanawake watakaofanikiwa kufika huko peponi watapewa nini? Wakati waume zao wakichakata bikra??.
Nawasirisha

Wao ndo zawadi. Watachakatwa kinyama. FaizaFoxy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom