Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,754
- 13,909
Huku Mbeya watu ni wakarimu sanaUnafikiri nakunywa bar za uchoroni kama wewe bwashee? nimetoa mtazamo wangu tu hata humu waislam wengi wana busara sana kuliko wanaojiita Wakristo
Na ni majority Christian Region, pia nimekulia mkoa wenye waislamu wengi sana kwa hiyo marafiki zangu wengi walikuwa waislamu, ukiachana na kuniita kafiri mara kwa mara lakini bado walikuwa wakarimu sana
Hii Tanzania imejaa watu wazuri wengi tu, wa dini zote mbili
Watu wanasema Wazanzibari wabaguzi, sijaishi nao so sijui, hao ni wa huko visiwani. Ila huku bara naonaga wote tu Wakristo kwa waislamu ni watu wazuri