Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,752
- 830,870
Kuna ukarimu fulani wa kiafrika... Mgeni anapewa heshima kubwa sana.. Kwa baadhi ya makabila mgeni kama ni mwanaume hupewa na mlimbwende kabisa amtoe baridi... Ila sijui kuhusu wageni wa like wanapewa niniš¤£
Kuna mwaka Rais Bush wa Marekani alipokuja Tanganyika Dalisalamu barabara zote alizopangiwa kupita zilidekiwa
Kule vijijini wageni wa dalisalamu.. Maarufu Kama wageni wa dar wana nafasi yao maalum kwenye shughuli yoyote iwe
Msiba
Harusi
Send off
Matanga
Kusanyiko la ndugu nknk
Wenyeji kama sehemu za kulala hazitoshi watawapisha wageni wa Dar..!
Leo kuna kituko nimekishuhudia mahali wenyeji wa dar wakiwapisha wageni wa dar kwenye nyumba yao..
Nikaona hapa sio bure kuna namna maana si kwa ukarimu huo
Watu wa dar wana nyodo sana mpaka akupishe kwakwe ni lazima uwe mnonoš
Sasa sijui ndio moja kwa moja ama ndio mgeni karibu .. Mgeni siku ya kwanza?