Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Nina swali;
Hivi response utakayoonyesha pale unaposalitiwa na GF/BF ni sawa na pale unaposalitiwa na wife/husband?
Nauliza hivi sababu kabla sijaoa nilishaachana na maGF kadhaa pale nilipothibitisha wamenisaliti. Tena haikuwa kaz kumwambia mtu 'basi, kuanzia leo tusijuane tena'. Lakini sasa huwa nafikiria kwa mfano ikitokea siku wife akacheat na nikagundua, hivi itakuwa rahis kumwambia tusijuane? Kwa haraka nahisi itakuwa ngumu, unless awe sugu. Tena nahis akicheat wife, moto mkubwa zaidi nitauwasha kwa huyo aliyecheat naye...
Ni kweli lakini unaweza kuta aliyecheat naye anajua kabisa ana mume/mke, lakini akamshawishi. Si dharau hiyo. Kwa mfano mimi mtu akilala na mke wangu nitahisi kama kalala na mimi.. hivyo ajiandae kupambana na moto wake...
unaweza fanya hivi kama amebakwa, lakini kama cheating, si walikubaliana? deal na wako maana ndo kakusaliti
Morally, cheating zote zinalingalina...tofauti inakua ni jinsi ya kukabiliana na maamuzi ya baada ya hizo cheating...kwamba kawekeza kiasi gani katika huo uhusiano?? Ndoa? Watoto? Muda? Fedha? n.k.
In the same wavelenght..........tatizo ni maumivu ya baada ya hapo....!Kwangu mimi 'cheating' haina mjadala. Nikijua demu wangu kamegwa nje..uhusiano wetu kwishnehi. Haijalishi muda, fedha, watoto, wala kingine chochote.
Siwezi kabisa kudhalilishwa uanamume wangu na mwanamke kwa kuniibia na mwanamume mwingine.
In the same wavelenght..........tatizo ni maumivu ya baada ya hapo....!
kabla hujaingia kwenye ndoa inabidi ujiulize je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote?
Ukijibu ndio, basi oa, akikusaliti rudia swali ulilojiuliza kabla ya kuingia kwenye ndoa'je ntaweza kumvumilia mwenzangu na mapungufu yake yote"?
inatakiwaga uanza na mhucka wako coz aliamua mwenyewe kwa tamaa zake.....
Kwangu mimi 'cheating' haina mjadala. Nikijua demu wangu kamegwa nje..uhusiano wetu kwishnehi. Haijalishi muda, fedha, watoto, wala kingine chochote.
Siwezi kabisa kudhalilishwa uanamume wangu na mwanamke kwa kuniibia na mwanamume mwingine.
Nina swali;
Hivi response utakayoonyesha pale unaposalitiwa na GF/BF ni sawa na pale unaposalitiwa na wife/husband?
Nauliza hivi sababu kabla sijaoa nilishaachana na maGF kadhaa pale nilipothibitisha wamenisaliti. Tena haikuwa kaz kumwambia mtu 'basi, kuanzia leo tusijuane tena'. Lakini sasa huwa nafikiria kwa mfano ikitokea siku wife akacheat na nikagundua, hivi itakuwa rahis kumwambia tusijuane? Kwa haraka nahisi itakuwa ngumu, unless awe sugu. Tena nahis akicheat wife, moto mkubwa zaidi nitauwasha kwa huyo aliyecheat naye...
Cheating is Cheating,awe BF/GF,MUME /MKE,Rafiki,mtu yeyote.Kaitka vitu nisivyopenda ni kuwa-cheated kwa namna yeyote ile na ndio maana huwa najizuia nisi-cheat wengine.
Huyo wako inatakiwa asishawishike kabisa chini ya mazingira yoyote yale. Kwa hiyo akishawishiwa kukuibia na yeye akashawishika tayari hapo hafai huyo.
Kwa hiyo utaona kuwa onus ya kukataa au kukubali iko kwa huyo mwenzako. Kwa sababu kama kashawishiwa na huyu basi kuna uwezekano mkubwa sana wa yeye kushawishiwa na yule na mkajikuta mnarudi kwenye square one. Sasa utawawashia moto wangapi?
Kwangu mimi ni ujuha kumwashia moto huyo mwingine. Moto uwashe kwa wako aliyeamua kukusaliti.
Ni kweli lakini unaweza kuta aliyecheat naye anajua kabisa ana mume/mke, lakini akamshawishi. Si dharau hiyo. Kwa mfano mimi mtu akilala na mke wangu nitahisi kama kalala na mimi.. hivyo ajiandae kupambana na moto wake...
Hapa ukipata tatizo hili inabidi kujiuliza ni kwa nini mwenzako anacheat huenda haumridhishi ndio maana katafuta mtu wa kumridhisha.
Sure! muulize ni nini hasa kilichopelekea yeye kucheat! Kwa upande wangu nadhani maamuzi yangu yanaweza kuwa makubwa sana sababu najitahidi sana nisimchet Wife ila itapotokea kanicheat NA NIMEGUNDUA HILO kwangu si vigumu kusema kwa heri ingawa ni mkristo na tumefunga ndoa kanisani, tuliapa kuwa waaminifu kwa kila mmoja na si kuwa eti mmoja atapocheat msamehe!!:mad2:. Ulimwengu huu si wa kuchetiana bwana kama kuna mapungufu katika chakula yenu ya kikubwa ZUNGUMZENI.
hakunaga sababu ya maana ya mtu ku cheat zaidi ya tamaa tu, kikubwa ulichoongea ni hapo red....cheating inaumiza sana tena sana ni bac tu binadamu wagumu.