Unayoyasema ni kweli.
Nadhani si lazima kuanza mahusiano baada ya mahusiano ya kwanza kukushinda, na pia inakuwa ngumu kama mwanamke tayari yuko beyond 40s.
Je kuamua kuendelea kuishi nyumba moja na huyo cheaters kwa ajili ya watoto, I mean watoto wapate malezi ya baba na mama, inaweza kuwork? Yaani kuendelea kuishi under the same roof ila kila mtu awe na time yake, hakuna kuulizana ulikuwa wapi, una mpango gani, ulilala wapi, huyo unayeongea nae kwenye simu ni nani etc, is this practical?