... causes mostly inaanza kwa mwanaume akianza kutomjali mkewe ... upungufu mostly kwenye love making ... with stress na majukumu wanawake wengi huchelewa to attain satisfaction sexually so a man has to have time to make sure they reach the peak pamoja ... lakini most men after they are finished first ... they are off snoring ... unamuacha mwenziyo na ham .. not once or twice but many many times .... what will she do ... ofcourse look for an outlet
There are others who suspect their spouses for same so naye anaamua kulipiza by looking for some one ... tunawatu wa different calibres and we have different needs ... think there is no limitation to this
... lakini most men after they are finished first ... they are off snoring ... unamuacha mwenziyo na ham .. not once or twice but many many times .... what will she do
...kabisaa...
seems i scared the hell out of you two ... guys there's alot involved in love making .... seems you guys only know how to use the vitovus ... kwi kwi kwaaa
jamii imeoza tu,wanaume waliooa ndio wanaoongoza kwa kuwa na wanawake wengi,ETI kupata different tastes,hakuna mwanamke rahisi kutongoza kama mwanamke wa mtu,,halafu wadada pia wanajisikia ni washindi wakipindua kasri za wenziwao,na vijana wa kiume wanasema mke wa mtu ndio mtamu halafu gharama inapungua ni venue tu ,tena wakati mwingine analipia mwenyewe.najua wahusika watabisha tu, ila huu ndio ukweli wenyewe.marriage kwa watu wa kisasa ni kubadilisha status tu,ikichukuliwa pia jamii inaona mtu ambaye yuko kwenye marriage ndio ambaye anonekana yupo responsible na kwa mwanamke ndio anaonekana ametulia. halafu ndoa za siku hizi,watu wanaoana kwa ajili ya obligation,eti ana mimba yangu bwana na hatuwezi kuitoa inabidi nimuoe tu hamna jinsi,unategemea nini baada ya mtoto kuzaliwa?Hivyo watu wanaoana ili kulea watoto waliowapata kwa 'BAHATI MBAYA',KUCHEAT KWA MPANGILIO HUU HAKUWEZI KUISHA.
seems i scared the hell out of you two ... guys there's alot involved in love making .... seems you guys only know how to use the vitovus ... kwi kwi kwaaa
Hamna lolote hapa,
Nadhani ni kujariibu tu.kujipa mayo kwa kutafuta jibu rahisi ili kurahisisha ubazazi wetu i mean kuupa ubazazi bressing eti kwa sababu vitovu vimeangukia mahara.
Matendo yako sikuzote yanaonyesha jinsi gani unafikiri but any ways do not get me wrong here we are not on IQ test.
So you can as well do what you pleases since mambo ya ngono ni yakisaikologia zaidi maana ya kushindwa au kuweza kufanya auku-abstain.
By the way i know jamaa mmoja HANITHI (kitovu kimeangukia) ambaye kabla hajafa ali-instist on weeding girl though mambo sio safi and nawajua jamaa wengi ambo ni safi na wame-oa likini wenzao wanawatembelea (kufanyana nao) ndio maaana nikasema mambo hayo niya saikologia zaidi.
naka if you will tell you brains that you don't want to bazazi around then 100% you wont and then if you wont then the answer is Yes,yes you will keep finding VITOVU vya kuvibebesha lawama kwamb they are not good in bed.
seems i scared the hell out of you two ... guys there's alot involved in love making .... seems you guys only know how to use the vitovus ... kwi kwi kwaaa
jamii imeoza tu,wanaume waliooa ndio wanaoongoza kwa kuwa na wanawake wengi,ETI kupata different tastes,hakuna mwanamke rahisi kutongoza kama mwanamke wa mtu,,halafu wadada pia wanajisikia ni washindi wakipindua kasri za wenziwao,na vijana wa kiume wanasema mke wa mtu ndio mtamu halafu gharama inapungua ni venue tu ,tena wakati mwingine analipia mwenyewe.najua wahusika watabisha tu, ila huu ndio ukweli wenyewe.marriage kwa watu wa kisasa ni kubadilisha status tu,ikichukuliwa pia jamii inaona mtu ambaye yuko kwenye marriage ndio ambaye anonekana yupo responsible na kwa mwanamke ndio anaonekana ametulia. halafu ndoa za siku hizi,watu wanaoana kwa ajili ya obligation,eti ana mimba yangu bwana na hatuwezi kuitoa inabidi nimuoe tu hamna jinsi,unategemea nini baada ya mtoto kuzaliwa?Hivyo watu wanaoana ili kulea watoto waliowapata kwa 'BAHATI MBAYA',KUCHEAT KWA MPANGILIO HUU HAKUWEZI KUISHA.
... kinga ni moja tu 'strenght of character' basi. hakuna kanisa, msikiti wala mzazi wala mke au mume atakekusaidia hapo ni kujiamulia biafsi tu.
Tumejadiliana sana kuhusu ubazazi na points nyingi zimesemwa, tunachosahau ni hiki,sababu iliyomfanya mr & mrs k kwenda nje haiwezi kufanana na mr & mrs L, wengine walioana kwa bahati mbaya,wengine maumbile ni tatizo,wengine uchumi ni tatizo,wengine ni hulka yao kubadilisha mboga;
Sababu haiwezi kuwa moja kwa watu wote.