Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Yani tatizo ni moyo dada unakuta wewe unapendwa na mtu ambae we humpendi na wewe unampenda mtu mwingine ambae nae hakupendi...mtu unahangaika na mtu na yeye anahangaikaa na ngedere mwingine huko swhaini kabisa
Haya maneno, moyo unakupeleka kwenye majanga
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
Perfect, sema Dunia nayo haieleweki bhana....
My personal experience it's better mka grow pamoja..... Ready made vinamaudhi Sana....
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
Hili ndio kusudi la ndoa. Changamoto ni kwamba je upo tayari kuishinda tamaa
 
Kuna dada alifungua duka, mdada wa mujini maisha ana yamudu kidogo kidogo lakini mume hana. Aliajiri mtu wa kumuuzia duka, dada aliyeajiriwa mchumba wake alikuwa masomoni Ulaya.

Yule mwenye duka alifikiria itakuwaje huyu ana mchumba Ulaya wakati mimi sina mtu.

Siku mchumba anarudi, yule muuza duka aliomba ruhusa ili ampokee mchumba wake. Boss alimwambia anawakatibisha chakula yeye na mchumba wake weekend.

Wamefika kwa boss, kumbe boss anammendea yule mchumba wa Ulaya. Baada ya vi wine na vi brandy akawa anajitongozesha huku akimtuma yule binti. Mchumba alimpa za uso boss.
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
HAAAA thats great my dear sister, where have you been for days, or you were busy very busy with americas senetorial mid term elections coming up in november, be blessed a lot, and how is bongo pls
 
Kuelewa na kumuelewesha mtu ni vitu viwili tofauti. Somo rahisi, lakini hawatakuelewa, hawataki kuambiwa kwa maneno kuwa sumu inaua, wanataka wajaribu kwa kuilamba.
 
Wanaosisitiza upendo usiangalie mali na sura wao wameoa warembo,wasomi na wana chura au wameolewa na wenye mkwanja na handsome.
 
Back
Top Bottom