Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Andikeni comments fupi fupi nina kazi nazo........
 
Tatizo watu wanaleta maisha ya tamthilya katika mahisha halisi;bila kujua maisha ya tamthilya ni feki
Ukitaka kuharibu tafutaneni kama bongo movie huko mbele ndiyo majibu mtayapata, kuna ndoa miezi 6-mwaka hakuna kitu watu mliopendana sizani hata mkigombana sahizi mkalala kesho mtapikiana chakula unakula huku umenuna na kodi ya meza unaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
Hongera babu Asprine kwa mahabati anayokupa..!
 
Unakuta mtu unapenda malaika halafu wewe mwenyewe ni shetani wapi na wapi ! Kuna vitu vingine inabdi kuvumilia tu kupata 100% ni ngumu sana yaani bahati sana, halafu unakuta mtu anachagua wakati yeye mwenyewe tabia zake mbaya Mungu atusaidiye

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu tupu yani, mie ugonjwa wangu mzigo kiasi tu uwepo,tuhips na awe mwepesi kitandani. Sura wastani tu. Akiweza kuwa na adabu kwangu na kwa ndugu zangu inatosha sana. Mengine tutavumiliana mbele kwa mbele.
 
Yani mimi nisipopenda halufu ya mwanamke basi yani huwa nafunga akil zoteee na kuweka rock cwez kua nae kwnye mahusiano yan nikpndaa tuh anvyonukia basii,ashakua wangu na huwa namfata ni anaenivutia alivyoumbikaa ,,,,,,,sasa halfu yke ndo huwa option ya mwisho na nina iprove zaidi ya kuwa nae karbu zaidi ya mara moja.
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.

Hivi unajua mimi siku zote huwa nadhani wewe ni mwanamke. Uwasilishaji wako hii habari kwenye maneno niliyoweka rangi unajitanabaisha wewe kama mwanaume.
 
Tabu tupu yani, mie ugonjwa wangu mzigo kiasi tu uwepo,tuhips na awe mwepesi kitandani. Sura wastani tu. Akiweza kuwa na adabu kwangu na kwa ndugu zangu inatosha sana. Mengine tutavumiliana mbele kwa mbele.
kazi kweli kupata 100% kazi sana, hapo nawe jiulize nawe unafiti sio kwa mwenza tu,
Eeeee mwenyezi Mungu tusaidiye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom