Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
Veteran asante kwa kuwaasa hawa vijana wa dotcom, hawa ni shida tupu hafu umri ukienda anajikuta kadondokea kwa Mme wa mtu, au anaanza kuzurura maeneo ya waganga wa Bagamoyo wakati bahati aliichezea mwenyewe.
 
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.

Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.

Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.

Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.

Dunia ni majanga.
vipi wewe hiyo pepo ya dunia umewahi kuishi?
 
Ninakusanya makopo lakini mpaka saivi mwanamke nkimtongoza nkimwambia ukweli wiki haiishi ananblock..
Ndio hao uliosema
 
Back
Top Bottom