Sasa wewe ulikubali vipi kuolewa naye sasa naye anakubali vipi kukuoa au mliunganishwa ? Mie siwezi hata kwa vibokoDue!!! mi nimeolewa ila jamaa hanipendi wala Mimi simkubali saana sijui tu itakua ndoa gani Mungu asaidie tu
Mlikutana kila mtu akiwa na stress za kutendwa alikotoka ndio maana mkaoana tu bila kupendanaDue!!! mi nimeolewa ila jamaa hanipendi wala Mimi simkubali saana sijui tu itakua ndoa gani Mungu asaidie tu
Hata mie nimeshangaa unajua kama mlipendana hata mkitibuana ni rahisi kuyamalizaAiseee...inakuwaje mnaoana wakati hampendani???makubwa hayaa
Mkuu upo umepoteaaSasa wewe ulikubali vipi kuolewa naye sasa naye anakubali vipi kukuoa au mliunganishwa ? Mie siwezi hata kwa viboko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenywe npo kweny ilo kundi ila sasa nna Bahat mbaya kama pimbi!!!


Unamkimhia , laa unamwonea kinyaa hata kumpangusa mateWengi tunatamani tu kwa muonekano wa nje,bila kujua ipo siku mmojawapo anaweza kuwa hoi kitandani akihitaji msaada;na kitakachofanya kazi hapo ni utu tu.
Niko poa asee sijui wew
No mwenzangu alikuja kwangu kwa kigezo ninakazi so tunaweza saidiana kuhudumia kwao mi sikujua nikampenda tabia zake zimefanya namchukia ...kuachana tunashindwa basi tupo tu kila mmoja anatafuta furaha kivyakeMlikutana kila mtu akiwa na stress za kutendwa alikotoka ndio maana mkaoana tu bila kupendana
Nami pia sijambo buheri wa afya,Niko poa asee sijui wew
Tumooana kila mmoja hana furaha na mwenzie tatizo tunaogopa wazaziwakati mnaoana ilikuwaje
Daah mbaya saana aseee pole lakini usikate tamaa kihivyo mnaeza kuja kuuana humo ndani jaribu kumuweka karibu zungumzeni muyamalize msisusane ndoa haisuswiNo mwenzangu alikuja kwangu kwa kigezo ninakazi so tunaweza saidiana kuhudumia kwao mi sikujua nikampenda tabia zake zimefanya namchukia ...kuachana tunashindwa basi tupo tu kila mmoja anatafuta furaha kivyake
Sawa sawa tupo tunanyooka na jiweNami pia sijambo buheri wa afya,
Tupo tunapambana na nchi ya magu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise pole sana, sasa mmejaribu kukaa chini na kuongea maana hiyo ni hatari familia mnayo yaani watoto ?No mwenzangu alikuja kwangu kwa kigezo ninakazi so tunaweza saidiana kuhudumia kwao mi sikujua nikampenda tabia zake zimefanya namchukia ...kuachana tunashindwa basi tupo tu kila mmoja anatafuta furaha kivyake
Haa haaa sahizi tuna heshimiana kabisa, kila mtu na mlio wakeSawa sawa tupo tunanyooka na jiwe
Hahahaha hakuna namna sasa
Kaeni chini muongee kisha mpelekane hata viongozi wenu wa dini kila mtu atoe yake ya moyoni, mnaweza kuuanaTumooana kila mmoja hana furaha na mwenzie tatizo tunaogopa wazazi