Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Kuna dada alifungua duka, mdada wa mujini maisha ana yamudu kidogo kidogo lakini mume hana. Aliajiri mtu wa kumuuzia duka, dada aliyeajiriwa mchumba wake alikuwa masomoni Ulaya.

Yule mwenye duka alifikiria itakuwaje huyu ana mchumba Ulaya wakati mimi sina mtu.

Siku mchumba anarudi, yule muuza duka aliomba ruhusa ili ampokee mchumba wake. Boss alimwambia anawakatibisha chakula yeye na mchumba wake weekend.

Wamefika kwa boss, kumbe boss anammendea yule mchumba wa Ulaya. Baada ya vi wine na vi brandy akawa anajitongozesha huku akimtuma yule binti. Mchumba alimpa za uso boss.
Haaa haaa ningekuwepo ningecheka kweli huyo mdada na kazi aliendelea kweli,
ila huyo mkaka ana akili nampa kongole lake anajielewa hayo ndiyo mapenzi ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosisitiza upendo usiangalie mali na sura wao wameoa warembo,wasomi na wana chura au wameolewa na wenye mkwanja na handsome.
Haaaa haaaa Madam Mwajuma yaukweli hayo kwa wenye mikwanja nazani mnaweza anza chini mpaka mkawa nazo, ila hivyo vingine wangu kuna kaukweli lakini sio sana, hata msomi sizani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa,. Nimechekaa eti,lol..hivi mwanamke wa hivyo unampata wapii?au mwanaume aliyekamilika kwa kila eneo unampata wapi??aiseee naona kuna watu wanavyopata tabu sanaa kutafuta malaika duniani....
Nawale wanataka kuoa bikira wakati yeye ameshazurura na ke kibao sasa huyu asijua sijui inakuwaje au
ndiyo yale unamuweka pambo kisha yeye anaenda starehe na mkahaba huko nje au inakuwaje yaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike wakati tuthamini moyo na upendo wa mtu tu. Inatosha kuondosha mapungufu mengine kabisa. Swala la ndoa kwa mabinti limekuwa kama ku win lottery ticket, unakuta demu anacheza kama ana wazimu yani kisa tu kavalishwa pete. Huwa nashangaa!!!

Deep down unakuja gundua ni kama matambo kwa rafiki zake mwanamke.Unaeza kuta hata mzee baba hupendwi!
Kiki za mtaani baba uwe na mkwanja basi, tuponywe kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukisema hivyo na ukilinganisha na yanayoendelea sasa upendo wa Agape ni nadra sana kukutana nao. Unakuta kijana hana hata buku mfukoni ila anakupenda hadi unajiuliza sasa mie huyu tutafikishana wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom