Nikuletee mingapi?
hahaha...na kinywaji gani cha kushushia?
Ukipiga na jagi moja la maji siku imeisha.....
Wazee wa Galanos pale nguvumali ukishuka tu kwa daladala nadhani mnapakumbuka ile mihogo ilikuwa mitamu ajabu enzi hizo 2001 nakumbuka vijana walikula adhabu moja kali kwa kutoroka na kwenda kununua mihogo huku mesini wameacha makande duu basi Sir Msocha akawadaka, hao suspension, muhugooooo huo