Tunaopata hizi raha kwenye ndoa hatizidi 20?!!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,680
Reaction score
140,325

Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.

Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa attention mke wake, anaacha jokes, anaacha romantic talks, inabaki mama Junior panua nikurenge.

Wale wachache wanapata hizi raha humu hatuzidi 20
 
View attachment 3700083

Ukishatangaza hivi kwenye social media inakuwa kama matangazo ya biashara zaidi.

Yani inakuwa kama you are doing it for the likes, you are not doing it for the love.
 
Huyo hakuwa anatangaza, tv ilimchukua

Kama ni mtu kakaa na mpenzi wake TV ikamchujua tu sawa.

Hapo tangazo limewafuata wao wao hawajajitangaza.

Yani unapojisikia haja ya kuwaonesha walimwengu kwamba wewe una mpenzi wako mnapendana sana tu, ujue hapo kuna zaidi ya hayo mapenzi yenu na mpenzi wako.

Kuna kuwaringishia walimwengu wakujue na wewe una mpenzi.

Ndiyo hayo matangazo yenyewe.

Na inawezekana kuna mapenzi, lakini hujatosheka na hayo mapenzi unataka watu wakuone.

Unafanya show.

Unaleta status anxiety.

Walioridhika na mapenzi utawakuta wamekaa zao kwenye benchi wanalishana, yani hata kama unawaona, ni kwamba imetokea tu umewaona kwa sababu hawajifichi, lakini si kwa sababu wanajitangaza.
 
Hili tulilijadili sana juzi hapa. Binadamu wabishi wakatubishi. Sasa wewe umeliweka vizuri
 
Wabishe kwa hoja tu.

Nina kitabu kina fallacies zote hapa wakibisha kwa fallacy nitawapitisha tu 😂😂
 
WANAOPATA RAHA KWENYE NDOA HUWEZI WAONA KWENYE MITANDAO DOGO. WALA HUWA HAWAPOST VIDEOS AU PICHA. NA UKIWAKUTA WAMEKAA HADHARANI WANAKAA KWA HESHIMA SANA. HUYO DADA TAPELI TU MWIZI. UTAIBIWA KIRAHISI SANA.
 
View attachment 3700083

Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.

Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa attention mke wake, anaacha jokes, anaacha romantic talks, inabaki mama Junior panua nikurenge.

Wale wachache wanapata hizi raha humu hatuzidi 20
Matukio yakianza urudi utuambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom