Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Kila naposoma kichwa cha habari cha hii mada, zinakuja nasty ideas tu kichwani. My mind so helpless in the gutter, man.
 
d691dbef9cab9ae7be3ec59df75879b5.jpg
Huku pwani huku
 
Natamani ningekuwa mzee wa zamani nafikiri ningeyapata yte hayo..wanawake wa siku ni wachache wanaojitambua wengi wanachokithamin ni simu zao tu
 
Natamani ningekuwa mzee wa zamani nafikiri ningeyapata yte hayo..wanawake wa siku ni wachache wanaojitambua wengi wanachokithamin ni simu zao tu
yaani siku hizi hizi smartiphone zimekuwa balaa kabisa hawana muda na maandalizi ya waume zao wamekalia simu kuanzia asubuhi hadi majogoo yaani simu zimekuwa majanga sana zinaharibu na zinajenga pia ila shida
 
Natamani ningekuwa mzee wa zamani nafikiri ningeyapata yte hayo..wanawake wa siku ni wachache wanaojitambua wengi wanachokithamin ni simu zao tu
Hata hao mabinti nao wanatamani wangezaliwa zamani!
mtoto wa watu anaweza kujitesa kuandaa chakula akakosa mlaji!
Walaji siku hizi wamepungua, wengine nao wanataka kupika basi kazi kwelikweli!
poleni wake zetu na dada zetu!
 
yaani siku hizi hizi smartiphone zimekuwa balaa kabisa hawana muda na maandalizi ya waume zao wamekalia simu kuanzia asubuhi hadi majogoo yaani simu zimekuwa majanga sana zinaharibu na zinajenga pia ila shida
Kweli kabisa utakuta nyumba nyingi zenye migogoro chanzo huwa ni simu.tu yaan mwanamke yupo radhi kufanya kitu kwa kulipualipua ilimradi asipitwe na yanayoendelea kwenye mtandao ndo maana utakuta vitu kma hivyo hawazingatii.. na sisi wanaume utakuta unaishia kumwangalia tu moyon unajisemea mengi ukisema uongee umeshaanzisha mzozo tayari
 
Back
Top Bottom