Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Umeonaee yani kuna wanawake hawajui kabisa kupika, omba asikupikie ugali wa dona ni kama uji.
Ilo ni tatizo la malezi utakuta mtu kalelewa ajawahi kutumwa hata nichemshie chai dada anafanya kila kitu lazima asijue. Mtu anachemsha chai km dawa majani tu ht ka mchachai kakuvutia chai noo uwiii tuwafundishe watoto wetu kazi tunawalemaza unakuta mtu anaolewa anajua kuchemsha maji tu tea bags ziko mezani kila kitu anafanya dada.. Namshukuru sana mama yangu na shangazi yangu. Nisinge jua kitu km sio wao.Nliona wananitesa ila sa hv naona faida yake
IMG-20170117-WA0016.jpeg
 
na harufu sasa. wakumbushe chakula kiwe na harufu yake ya asili kabisaaaaaa.huu uzungu wa viungo viiingi hadi unakua hujui unakula chakula gani unakata stimu kabisa.
kiandaliwe kwa usafi lakini jamani harufu yake ya asili tafadhali...iwepo!
Kweli kabisa mkuu unakula samaki ananukia kuku mwee
 
Hahahaa we mpikie tu mi napika vingine
ha ha haha sawa mke mwenza sasa naenda ongeza mabuli nyeupe safi na inamfuniko na naenda nunua ta ya nyekundu tunakula kwenye kigiza kidogo lazima uachike mwaka huu
 
ha ha haha sawa mke mwenza sasa naenda ongeza mabuli nyeupe safi na inamfuniko na naenda nunua ta ya nyekundu tunakula kwenye kigiza kidogo lazima uachike mwaka huu
[emoji23] [emoji23] wewee mahaba na manka wapi na wapi. Utaigiza siku mbili tu siku ya tatu chali...yana wenyewe hayo
 
Hata mimi nimewaza kama wewe...labda ni sisi wawili tu!!
iina maana hamjaelewa nini hapo kwenye kichwa cha habari wakuu mbona kimekaa vyema

nambie tatizo nini niwaisaidie hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na wanaume wa siku hizi nao wanafanana na wanawake wa siku hizi. Wapo wanawake wengi tu bado hawatumii mitandao lkn hamuwati mnawaona washamba [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mimi namtaka wa hivyo sasa
 
Back
Top Bottom