Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Raha ya Chakula cha mwenzi kiwe wazi

Kikifunikwa napo kina raha yake bwana, cha msingi ni kuzingatia usafi, alafu unamnawisha then mnasali kisha unafunua anakutana na harufu taaamu, then unampakulia vizuuri maana unajua size yake, then mnakaa mnakula.

Kama unataka kionekane basi kuna bakuli nzurii ambazo ni transparent na zina mifuniko transparent pia. Chakula kinaonekana muruaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aliyekupata asikuachie
 
Natamani ningekuwa mzee wa zamani nafikiri ningeyapata yte hayo..wanawake wa siku ni wachache wanaojitambua wengi wanachokithamin ni simu zao tu
Nafikiri tatizo ni bond mnayoitengeneza tangu uchumba ndio tatizo,mahusiano yaliyojengwa katika misingi ya upendo na kuheshimiana hayawezi kufikia huko bwana.

Mama hata kama ni career woman bt still ana muda kama sio wa kuandaa ila wa kuhakikisha anasupervise chakula kinachoandaliwa kwaajili ya familia maana anapenda familia yake wale vizuri.
Mumewe anajua toka asubuhi hadi jioni anakuwa busy na shughuli za hapa na pale na stress za ofisini kwahiyo akirejea home atleast apate dicent meal.
 
Hata hao mabinti nao wanatamani wangezaliwa zamani!
mtoto wa watu anaweza kujitesa kuandaa chakula akakosa mlaji!
Walaji siku hizi wamepungua, wengine nao wanataka kupika basi kazi kwelikweli!
poleni wake zetu na dada zetu!
Unajipinda kuandaa chakula tena akipendacho unakaa hadi saa5 usiku hajarudi kapitia bar, akirudi ashashiba nyama choma na bia analala tu. Inavunja moyo.
 
Very well said,chakula kwenye hotpot hakivutii mlaji. Na wengine hua anaserve kwenye sufuria kabisa unakuta katoa sufuria jikoni kaweka mezani [emoji15][emoji15] hawa wenzetu wanatia aibu!!! Raha ya chakula userve kwenye mabakuli makubwa na ukiona kitapoa kiache jikoni userve dakika chache kabla hujakiandaa.
 
Siku nyingine mdada tumia wino mweusi, nimefungua tu hiyo nyuzi nikaishia kusoma salamu tu
 
Hahaaaaa! Mkuu umefuata mahaba Tanga? Safi kila mtu na chaguo lake wacha mm niendelee na huyu Manka najua tutafika mbali kipesa.
Mkuu Ficus,hivi unatumia dawa gani ya mswaki?,maana meno yako ni meupe sana.
 
Wadada wa sikuiz utandawaz elimu tulizonazo tunautumia vbaya twajisahau saana ktk Nyumba zetu utakuta Dada wa kaz yy ndo wa kupika hadi kumsavia mumeo ahahaha tujirekebishe jaman usista duu tuache
 
Kikifunikwa napo kina raha yake bwana, cha msingi ni kuzingatia usafi, alafu unamnawisha then mnasali kisha unafunua anakutana na harufu taaamu, then unampakulia vizuuri maana unajua size yake, then mnakaa mnakula.

Kama unataka kionekane basi kuna bakuli nzurii ambazo ni transparent na zina mifuniko transparent pia. Chakula kinaonekana muruaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona sasa huniandaliagi hivi mama yeyooo...?
 
Back
Top Bottom