Mkuu naomba updates hata PM tu nitashukuru,,maana mie kwangu hola kabisa. Nimebakia na JF tu ndo inafanya kaziVPN ninaitumia kwa ajili ya updates za @kigogo2014, I don't wanna Miss a thang
hata kama ulikuwa huamini katika ulozi itabidi tu uamini sasaVPN bana nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea !!!
Je inaweza kunifaa kwenye shughuli zangu za ushirikina? (uganga na ulozi)Ukiwanayo ile ya kununua kama Express au Cyberghost utakuwa unachagua nchi ya kwenda.
Mkuu utapata update zoteWakuu sie tusio na VPN. tunaomba updates kinachoendelea huko Twitter. Hasa hasa kutoka kwa kigogo tunatanguliza shukurani
Asante 🙏🙏🙏
Play store iko down MkuuHuja download VPN?
Bora ila kuwa makini usije ukaenda kalifonyaaa ile ya magufuli ya Arusha🤣🤣Nipo usa jimbo la carlfonia love
Hebu nielekeze kuna seheme ya malipo inter card unalipaje pale?maana mm bado sijaweza kuitumia VPN..plz nielekezeVPN ninaitumia kwa ajili ya updates za @kigogo2014, I don't wanna Miss a thang
Yaani yule aliyekuwa mhubiri wa injlli ya Yesu mfufuka (gwajiboy)
Tumia FreeHebu nielekeze kuna seheme ya malipo inter card unalipaje pale?maana mm bado sijaweza kuitumia VPN..plz nielekeze
Kweli Mkuu hili ni tatizo kubwa sanaSasa hivi unashangilia kutumia VPN ila VPN siyo suluhisho la matatizo haya,vipi kama wakizima internet mazima?Tuache kutumia solution za muda mfupi kusolve matatizo ya muda mrefu!