Msaada: Majanga yaliyonikuta kuhusiana na VPN

ginyisi

Senior Member
Apr 6, 2023
148
261
Jamani wadau naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu,

Mimi Kuna rafiki yangu alinifundisha namna ya kujiunga na VPN (virtual private network) sasa nikawa naitumia kwa muda wa miezi kadhaa nikaamini ni kweli ndipo nikawashirikisha watu nikawaunganisha kwa malipo kidogo tu yaan 30k per 6monthy au mwezi mmoja kwa 10k.

Ndugu zangu nimepiga hela za bure nyingi sana, sasa apa nna siku 5 VPN zote hazifanyi kazi yaan nmechanganyikiwa simu zinapigwa kila mahali na kila dakika namm nmeshachoka kuwadanganya na Sina msaada wowote kwakuwa ata alienifundisha anasema waga wanakata kwa muda na kurudisha lakini hii imekuwa too late, hivo naombeni msaada kwa anaejua namna ya kutatua changamoto hii tafadhali!

Mbaya zaidi ata wafanyakazi wenzangu nao nmekula hela, mabosi zangu ni wahindi nao nmekula hela. lengo langu halikuwa ni utapeli lakini sasa inaenda kutafsirika kuwa Mimi ni tapeli! naomba ushauri wako mkuu, Asante
 
FB_IMG_16915221184125868.jpg

Ilibaki kidogo uonekane tapeli 🤣😁
 
VPN Bado tunaunda nayo wachache Ila sahivi hatutawapa tena files maana mnatuchomesha Sana ngoja mkome .. kwanini muuze???? Nyie ndo hua mnaunguza picha sasa utaisoma namba VPN imebaki ya wachache na tumeapa hatutoi tena
 
Sasa wewe watu wanataka uwaunge na wanakutangazia dau wenyewe we utaachaje ela Babu, au unasema tu
 
Back
Top Bottom