Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Ila kuna wanaume ambao wanajua maana ya urafiki bwana, wanajali mpaka unaweza hisi umepata baba wa pili.
Pole mwaya, mpe muda muombe msamaha, kiri kosa lako, jishushe na onyesha kujutia ulofanya. Kama nawe ulikuwa muhimu kwake basi atakurudisha tena kwenye maisha yake
Yaani we acha tu mpaka nilishaanza kumdekea yani rafiki tu ila the way alivokua ananijali nikiwaza mpaka nahisi kuumwa!
 
Duh hadi imemibidi nicheke mwenyewe kwa sauti, akirudi ahakikishe kichwa kinaponza mdomo, nadhani atakuwa amekuelewa
Yooooooooo akirudi nafunga domo langu yani nimekoma sio kidogo eti
 
uyo atakuwa na lake swaiba au ujamsomesha vizur si unaelewa wanafunzi wa kizazi hiki

embu niambie umetumia mbinu gani adi asielewe ilo somo
Kuomba msamaha weeeeeeee, kumwambia nimemmis weeeeeeee,,, kumtumia clip za kuonesha majuto weeeeeeee nanyinginezo.. Ila wapiiii! Enhee nipe mbinu nyingine nzuri
 
Kuomba msamaha weeeeeeee, kumwambia nimemmis weeeeeeee,,, kumtumia clip za kuonesha majuto weeeeeeee nanyinginezo.. Ila wapiiii! Enhee nipe mbinu nyingine nzuri

Mbinu nyingineeeeeh........ila kama umejaribu yote hayo umekira na kumuomba msahama na still kakaza just mpotezee labda yeye hajaona thaman yako kwake kama wewe ulivyo ona kwake yeye.......

mana sijafaham hasa kama uyo swaiba wako ni wa kiume au kee ila kama ni wa kiume aribu tiba la asili labda yaweza saidia who knows......😕😕😕😕
 
Yaani we acha tu mpaka nilishaanza kumdekea yani rafiki tu ila the way alivokua ananijali nikiwaza mpaka nahisi kuumwa!
Ulimuudhi nini kikubwa hivyo jamani, hebu mpe muda na yeye akumiss kidogo!! Atarudisha moyo nyuma
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom