Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,437
Mapigo ya moyo yanaongezeka...Ehe moyo unakuenda wap tena
Mapigo ya moyo yanaongezeka...Ehe moyo unakuenda wap tena
Mambo mazuri huwa hayataki haraka dear, yani mm nkigombana na mtu na makosa yakawa yangu uwa naomba msamaha alafu nampa nafasi Hyo mtu anachuja umuhimu wangu kwenye maisha yake alafu baada ya muda hata wiki mbili hvi namrudia tena kwa kuomba msamaha hapo atanisamehe kwa roho moja sababu na yeye anakua anamiss vitu vyako (moments)Ubaya unakuja hapa ; mpaka akirudisha moyo mimi nitakua nishaachana nae na nishaanza kuacha kumbembelezaaa mwanaume wakati Nikamwambia rafiki tu
Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhmh naelekea kugive up!Mambo mazuri huwa hayataki haraka dear, yani mm nkigombana na mtu na makosa yakawa yangu uwa naomba msamaha alafu nampa nafasi Hyo mtu anachuja umuhimu wangu kwenye maisha yake alafu baada ya muda hata wiki mbili hvi namrudia tena kwa kuomba msamaha hapo atanisamehe kwa roho moja sababu na yeye anakua anamiss vitu vyako (moments)
Pole jamn, ucjali yatapunguza kasi tuMapigo ya moyo yanaongezeka...
Ni mipango tu Mungu ndiye mpangaji... Umechezea bahati... Hakuna kujutia...Uhuru niwako eeeee sema hata mpaka kifo chako ufe huku unasema uzikwe unasema niwewe tu!!
Rafiki, kama unataka kuandika kiswahili iwe kiswahili, ikiwa unataka kuandika kiingereza iwe kiingereza maana wengine hatuja soma shida tupu.Habari ya jumatatu!
Jamani kuna rafiki yangu mmoja waukwee ambae nimemvurugaaa mwenzenu, nimemtibua kiasi kwamba naona kama kazira kabisaa mpaka nakosa raha.
Bado namkumbuka sana nakumbuka ushauri wake na mambo yake mengi mengi tu. I don't know what to do with this friend of mine coz I really missed him so much. I love and misses the time we had together. I miss every moment we shared.
He was a teacher mentor and a counselor to me. Amenifundisha kunishauri na kunielekeza mambo mengi sana. Sasa nimemuudhi na kakasirika hakuna mfano! Yani kakasirika mpaka naogopa!
He was not just a friend, a friend in deed. He hold my hands in every difficult situation in have encountered. Ni mtu wa muhimu sana na mwenye mchango mzuri mkubwa na wenye msingi katika maisha.
What kills me nikwamba ; we were so crazy and funny. He makes me laugh and smile always! mpaka nilijikuta nakua mwenye furaha na amani tele.
Kitu cha kuwa makini members think before you act wajameni mdomo ushaponza kichwa huku. Mwenzenu ndo nishampoteza rafiki mzuri ivo.
Though alikua rafiki ila naumia sana mwenzenu.
What should I do?? Help me out members!
Wa kuyapunguza ni wewe ujue...Pole jamn, ucjali yatapunguza kasi tu
Hapana, kama ana umuhimu kwako don't loose hope. Atakusamehe tu. Ila ikikaza mpaka mwisho basi jaribu kuzoeaMhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhmh naelekea kugive up!
Hata sikupi pole... Nakucheka kwa dharaaau.... Usipende kuudhi asiyekuudhi..Cheka tu shida iko wapi!??
Magu mwenyewe anachanganya, au hujaangalia taarifa ya habari ya leo wakati akizindua uwanja.sasa si uwandike lugha moja kama kiswahili andika kwa kiswahil kama english andika kwa lugha iyo ila unachanganya kama nini
alaf nyie wasomi wa siku hizi ndo mana magu hawapi ajira pumbavuu
Sikupi kweli... Feel the pain...Na usinipe tu pole yako kitu gani??