Rafiki wa Mume wangu............

Ukiona uzi wa mtu kabla hujacoment vibaya na hana mazoea na wewe. Huna haja ya kuandika vitu vya ajabu ajabu.

Wengine hatuna mud za kigomvi. Tunapenda amani.

Tunavibe na wapenda amani au kufurahi na wenzetu.

Hivo tu.
Eeehhh kumbe ku comment ni kwa mazoea hapa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ndio nalifahamu leo hili. Sasa mnazoeanaje nyie fake people?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…