Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

Just back off , this isnt your league kaka --its too low of you kuuliza haya hapa ; Sorry

Kwa majibu haya kipuuzi + arrogance, walah utazeeka ukiwa single hata mafao ya PPF utakula peke yako. PERIOD
 
Kama ni kugegedana poa. Kama ni mambo ya kuonana sahau kabisa.
 
Just back off , this isnt your league kaka --its too low of you kuuliza haya hapa ; Sorry

Nilitaka kutupia-PM lakn kwa jibu hapa nahofia kidogo ngoja niendelee kuangalia majibu mengine. Halafu kwa nini umebadili ID, maana uandishi wa ki-hivi nina uzoefu nao kidogo.
 
Hofu yangu ni kujiandaa kulelea mzee ungali kwenye peak ya uhitaji....ukiniambia labda wengi wanakimbilia kuolewa na range hii kwa sababu ya financial security nitakuelewa ila kama ni sababu nyingine naweka kapuni!

wakikuskia akina Dark City na Asprin kwamba unawashushia heshima kusema kwamba uzee hautimizi mahitaj watakuchapa.
kuna wazee wako vzr kuliko ata hao vjana unaodhan na ukweli wengi wa wazee wanaweza uki kompea na vijana
 
Last edited by a moderator:
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

Achaaaa uhuunii wewe siusemee tu natafutaa mume wakunioaa…
 
Achaaaa uhuunii wewe siusemee tu natafutaa mume wakunioaa…
victor moshi ivi kwann useme ni uhuni?
mbona nyie akina kaka mkieka mabandiko ya kutafuta wenzi tunayachukuliaga poa?
ama kwasabb huyu ni mdada?
acheni kunyanyasa wenzenu kijinsia.
eti uhuni,
ingekuwa uhuni basi ata mexence melo ndo angekuwa muhuni zaid kukubali love connect kuwa sehem ya jukwaa
 
Last edited by a moderator:
wakikuskia akina Dark City na Asprin kwamba unawashushia heshima kusema kwamba uzee hautimizi mahitaj watakuchapa.
kuna wazee wako vzr kuliko ata hao vjana unaodhan na ukweli wengi wa wazee wanaweza uki kompea na vijana

Wanandisi wa mitambo wanasema mwendokasi ni suala la umbali gawanya kwa muda, sasa ikiwa utataraji mwendokasi wa mashine ilokwishatumika uwe mkali kuzidi wa mashine mpya basi physics ulifaulu kwa ufaulu usioridhisha!
 
victor moshi ivi kwann useme ni uhuni?
mbona nyie akina kaka mkieka mabandiko ya kutafuta wenzi tunayachukuliaga poa?
ama kwasabb huyu ni mdada?
acheni kunyanyasa wenzenu kijinsia.
eti uhuni,
ingekuwa uhuni basi ata mexence melo ndo angekuwa muhuni zaid kukubali love connect kuwa sehem ya jukwaa

Nop umee ni cort vibayaaa hataa mtuu ukiangaliaa approch ya caption yakee utajuaa kabsaa kunaa kituflani kinaa hitajikaaa
Semaa yeye kakipindishaaa
Kinachotakiwa niyeye kusemaa directly..
 
Last edited by a moderator:
Wanandisi wa mitambo wanasema mwendokasi ni suala la umbali gawanya kwa muda, sasa ikiwa utataraji mwendokasi wa mashine ilokwishatumika uwe mkali kuzidi wa mashine mpya basi physics ulifaulu kwa ufaulu usioridhisha!

naona umenijia na concept za speed sio??

aya tuje ivi bito mpya inaweza kwenda mbio sawa na gx100 iliyotumika miaka 5 kabla ya iyo bito kuanza kutumika?
yaani efficiency pia ni factor ya experience kwamba ata kama ni mashine ndo mana inatestiwa kuthibitisha na kadiri unavyoitumia ndivyo unavyoweza kuiongezea ubora mashine iyo.

niliwah kutembeelea kiwanda kimoja cha kutengeneza injin za magari na cha kushangaza injin kabla ya kuveshwa kwenye gari huwa inajaribiwa kwanza nje so kumbe huwa inakwena km za kutosha kabla ya kuveshwa kwenye body
 
Usimkatishe tamaa mwenzako,uwezekano wa kupata upo,kama angekua na nia ya kupata wa kugegedana wala asingepost hiyo post.
 
naona umenijia na concept za speed sio??

aya tuje ivi bito mpya inaweza kwenda mbio sawa na gx100 iliyotumika miaka 5 kabla ya iyo bito kuanza kutumika?
yaani efficiency pia ni factor ya experience kwamba ata kama ni mashine ndo mana inatestiwa kuthibitisha na kadiri unavyoitumia ndivyo unavyoweza kuiongezea ubora mashine iyo.

niliwah kutembeelea kiwanda kimoja cha kutengeneza injin za magari na cha kushangaza injin kabla ya kuveshwa kwenye gari huwa inajaribiwa kwanza nje so kumbe huwa inakwena km za kutosha kabla ya kuveshwa kwenye body

Kuna simulizi fulani ya babu mmoja aliyeamua kumcheat mkewe kwa kumchukua house girl mdogo kitendo ambacho bibi aliamua kukilipiza kwa kutembea na houseboy of whom umri wa bibi ni mara tatu ya wa house boy!
Hatua hii ilimuumiza sana babu kwa kuwa alitambua wazi kuwa mbwa kulalia mkeka haimfanyi kuwa muumini ilihali akijua ufunguo mdogo unaweza kutekenya leyland kuu kuu hadi ikatoa mlio wa subaru!
 
Mmmh!!!!! kumbe kupata mwenza ni ngumu, hapa bado hujaingia kupambana na vigingi vya ndoa yenyewe sasa mmh, ila humu uwe na taadhali sana mamie usije angukia pua ukajuta, uwe makini sana.
 
Back
Top Bottom