Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Last edited by a moderator:
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .
Thanks
Kupata mwanaume wa kikatoliki saivi ni ngumu sana maanake wanaume wengi wa kikatoliki wameolewa na midume wenzao
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .
to
Thanks
Ni miaka 36 na miezi 6.Miaka 35-38 ndio miaka mingap?
Nimependa umeandika kama mtu mzima haswaaa ....Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .
Thanks