Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

Nilitaka kutupia-PM lakn kwa jibu hapa nahofia kidogo ngoja niendelee kuangalia majibu mengine. Halafu kwa nini umebadili ID, maana uandishi wa ki-hivi nina uzoefu nao kidogo.

Yamtokayo mtu ndiyo yaliyomjaza...mwanaume atakayevumila tabia hii labda awe kipofu na kiziwi kwa wakati mmoja!
 
Unatafuta mumee au rafiki wa kiume wa kubadilishana mawazo tu.............
Coz kwa umri huo ulioutaja mmh!!!!
 
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

Kuna mtu ambaye ninamfahamu ana sifa zote unazotaja wewe ila kasoro hilo la Education(kama sikosei atakuwa ni f4) ... Sifa yake ya ziada ni mcha Mungu pia... Kama upo serious usisite kunicheck
 
Thanks all , if it doesnt suit you pita tu dont waste energy kujibu; I see most men wana suffer from immaturity na wakipewa clear answers wanachukulia kama insults ; na sijasema natafuta mume au mtu wa ngono cant you read between the lines. U can make all assumptions you wish but the truth will remain with the author.
 
wakikuskia akina Dark City na Asprin kwamba unawashushia heshima kusema kwamba uzee hautimizi mahitaj watakuchapa.
kuna wazee wako vzr kuliko ata hao vjana unaodhan na ukweli wengi wa wazee wanaweza uki kompea na vijana
We mwache ajidanganye tu.....
 
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

Pana kaubaguzi flani hapa!

Yaani hata urafiki wakupeana mawazo una vigezo, du!

waswahili wanajisemeaga,"UMDHANIAYE NDIYE KUMBE SIYE"

sina vigezo hivyo vyote.
So,sina wazo naloweza kukushauri..

Ngoja ni log out....
 
Saraeli kwa kweli hapo mimi sioni ubaya kwa age range uliyoipendekeza. binafsi naamini hiyo age range 35 - 38 (mwanamke) na 40 - 50 (mwanaume) ni range muafaka kwa kuwa marafiki na kubadilishana mawazo gfsonwin.
nakutakia mafanikio katika lengo hili na naamini utafanikiwa.

pole kwa madongo unayopigwa humu lakin ndio hivyo penye wengi pana mengi na binadamu tunatofautiana sana mitazamo, ndio ulimwengu.
 
Thanks all , if it doesnt suit you pita tu dont waste energy kujibu; I see most men wana suffer from immaturity na wakipewa clear answers wanachukulia kama insults ; na sijasema natafuta mume au mtu wa ngono cant you read between the lines. U can make all assumptions you wish but the truth will remain with the author.

unaonekana unasumbuliwa na kitu kinaitwa low self esteem.
 
Its better to disclose even partially what happen in your previously relations/dating coz it ain't sound pleasant kwa graduate mwenye kazi then 35 plus kuja na proposal ya aina hii....tuambie interaction yako,shuleni,chuoni,kazini,na maisha ya nyumbani ikoje perhaps ushauri wetu ukapasha kiporo chako moto rather than kissing another frog!

Its better to disclose what HAPPENED in your PREVIOUS....turudi kwenye mada, acha kukariri maisha!
 
Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing .

Thanks

Kupata mwanaume wa kikatoliki saivi ni ngumu sana maanake wanaume wengi wa kikatoliki wameolewa na midume wenzao
 
Nipo saraeli
Mie ni mkatoliki nilie na hofu ya mungu
Nasali parokia ya mt.monica
Jumuia ya bikira maria mama wa huruma
Arusha jijini
Nafurai kukusikia
Kuwasiliana nawe
 
Back
Top Bottom