Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Ww huyo mpenz wako humkujali kwa kila.kitu aisee

Miaka miwili.bila kukutana kimwili??

Huyo alikuwa kaka yako sio mpenzi
 
tuliza akili. Hapo unaweza kuingizwa chaka bila kujijua. Pili tayari umeshasema huna mapenzi naye sasa kwanini unaweka mawazo yako juu yake?
 
Duh! Cv yako inajiuza? Aisee, mwogope huyo hana mapenzi ya kweli ametamani hiyo Cv yako.
 
U mjinga wa mwisho!unabaki dillema kwa kuambiwa tu utaolewa next year(maneno matupu)!Natamani nijue miaka yako na jinsi maneno ya kuolewa yatakavyokufanya uvuliwe pichu na jamaa kukimbia!Na Inawezekana ni planned mission na huyo X wako ili waone udhaifu na akili ndogo uliyonayo!Endelea kuwa dillema hivyo hivyo kwa kutangaziwa ndoa!Ukivishwa pete ya uchumba si ndio utahisi Dunia yote yako!Ukipatwa naomba utupu mrejesho tafadhali
 
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
Olewa da hujafungwa kama unamuona ametulia ila nadhani acha akili yako itulie ndo uruhusu mahusiano mengine

Siku hiz da kama hufungui sanduku utaachwa kwa lazma utafute mtu mnaeendana na kama hamshiriki mwe mmekubariana sio msimamao wa mmoja

Inaonekana wee ulikuwa umemnyima miaka 2 miwili mtu atakuwaje bila mahusiano ya kimapenzi kwa hiyo hilo lazima liwe wazi na kama mtu atadai sex na wee hauko tayari afadhali uvunje uchumba maana kwa nmna yoyoyte mtu ataafuta wa Ku do naye
 
miaka miwili hamjagusana duh .....mi ningehama kimya kimya pia maana.....
 
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
Fursa haiji mara mbili
 
Hapo kwenye rangi ndiyo ujikite na kuamua kusuka ama kunyoa. Usikubali kuolewa tu bila ya kumpenda huyo mume mtarajiwa. Tafakari kwa kina hapo kwenye rangi na ukishaamua upande upi uelekee itakusaidia kufanya maamuzi. Usikute huyu anataka kukuvua picchu tu kisha asepe zake.

Wewe baba'ko (kama unamjuwa) walipendana na mama'ko?
 
Duh!

Kwa hiyo anataka akuoe moja kwa moja...hakuna cha dating wala nini?

Ndoa mwendokasi😀.
Si umemsoma hapo kasema alikuwa na mchumba miaka miwili bila kukutana kimwili, naona huyo mpya kaona kusubiri miaka miwili ngumu!
 
achana nae,,, kama kweli humpendi kaa nae mbali.....ibilisi ni mjanja sana......halafu kwnn ulimnyima jamaa kwa miaka 2,,,, hakuna mwanaume atakaeweza vumilia hivyo,, hakika ulipaswa kuachwa...pole zako.....atakuja mjanja atakutusua fasta then anasepa...kuwa makini....
 
OLEWA WEWE!
mambo ya kukaa kumfikiria mtu aliyekutoa kafara kisa nini?
 
Ndio rizikyG wote mtakuwa hivyo labda kama nitaanza kuona tofauti itakuwa ni kwako endapo nitathibitisha kinyume na hapo wote watakuwa ni hivyo tu.
Sasa kama mnakutana na watu waliotumika unategemea na wengine wako hivyo Mr junior
 
U mjinga wa mwisho!unabaki dillema kwa kuambiwa tu utaolewa next year(maneno matupu)!Natamani nijue miaka yako na jinsi maneno ya kuolewa yatakavyokufanya uvuliwe pichu na jamaa kukimbia!Na Inawezekana ni planned mission na huyo X wako ili waone udhaifu na akili ndogo uliyonayo!Endelea kuwa dillema hivyo hivyo kwa kutangaziwa ndoa!Ukivishwa pete ya uchumba si ndio utahisi Dunia yote yako!Ukipatwa naomba utupu mrejesho tafadhali
Sijabaki dilemma kwa sababu ya kuambiwa ndoa, cna pressure ya ndoa kias hicho. Anyway, nilichouliza sio ulichojibu. Nimeuliza kama ni busara kuwa na rafiki mkubwa wa ex wako, kuja na agenda ya ndoa kwangu si kitu.
Halafu, don't think kwamba kila mtu huvuliwa chupi mda wowote. It has a right time.

Asante pia kwa kuniita mjinga wa mwisho maana nina ahueni kuliko mjinga wa kwanza.
 
achana nae,,, kama kweli humpendi kaa nae mbali.....ibilisi ni mjanja sana......halafu kwnn ulimnyima jamaa kwa miaka 2,,,, hakuna mwanaume atakaeweza vumilia hivyo,, hakika ulipaswa kuachwa...pole zako.....atakuja mjanja atakutusua fasta then anasepa...kuwa makini....
Never happen, God never lie to me and never change his word. Atakayeshindwa kukubaliana nami bas sio wangu. Mlengwa atapatikana tu.
 
Back
Top Bottom