Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

muulize hiyo miaka 2 yote alikuwa anatobwa na nani ikiwa boyfriend wake hajawai kumpa je yeye bikra mpaka ameshindwa kumpa boy wake?
Ndg yangu, sio kila binadamu anawaza ngono akiwa kwenye uhusiano. Ngono ni makubaliano ya wenye mahusiano. Hata hvo, kuwa bikra ama kutokuwa, hayo ni yangu na Mungu.

Sijaomba ushauri khs ngono au kutofanya.
 
Ndoa ni kitu cha kushangaza wala usiogope hujui MUNGU amekupangia nini ila maadamu kama unamjua hiyo kitu hutokea sana, sema nawe ni kutafakari kwa kina tuuuu usiwe mrahisi endelea kuchunguza kama ulivyokuwa unaishi mwanzo na x wako
 
Pole sana dada,kikubwa sikiliza moyo wako unakuambia nn kwanza,kama ni kutulia tulia kwa muda ili upate jibu sahii,lkn binafsi ningependa uolewe tu na huyo rafik wa x wako maana siyo kwamba x wako uli sex naye la hasha!sasa unaogopaje hapo?,kitu kingine kama humupendi huyo jamaa jiulize kwann humpend isije ikawa humpend kisa ni rafik wa x wako tu!!kaa fikilia kwa muda ndiyo ufanye maamzi USIKULUPUKE KOSEA VYOTE LKN USIKOSEE KUOA/KUOLEWA
Thx,!!!!
 
dah! ujue mahusiano yako na uy ex wako kidogo yan walakin" hv kweli mmekaa miaka miwili bila kufanya chochote ayo ni mahusiano halal kwel? mm ninachokushaur msome kwanza uyu jamaa kama ana nia kwel ya kukuoa ukigundua kama anania ya dhat bas we mwambie tu afanye izo taratibu maana huwez kumfikiria mtu ambaye mmekaa miaka miwili kama mtu na mpenzi wake bila kufanya chochote, huenda uyo ex wako alikuwa na matatizo
Mmmmmhhhhhhhh kwahiyo unadhani kila mwanzo wa mahusiano ni kufanya ngono tuuuu kuna watu wanajiheshimu
 
dah! ujue mahusiano yako na uy ex wako kidogo yan walakin" hv kweli mmekaa miaka miwili bila kufanya chochote ayo ni mahusiano halal kwel? mm ninachokushaur msome kwanza uyu jamaa kama ana nia kwel ya kukuoa ukigundua kama anania ya dhat bas we mwambie tu afanye izo taratibu maana huwez kumfikiria mtu ambaye mmekaa miaka miwili kama mtu na mpenzi wake bila kufanya chochote, huenda uyo ex wako alikuwa na matatizo
Hakuwa na matatizo naamini hvyo, na kama alikua nayo sijui. Hata hvo, ni maamuzi ktk mahusiano, na kwa imani niliyonayo, sipaswi kufanya ngono na mchumba/mpenzi. So, hayo mengine sijui.
 
Umejifunza kosa lako??
Next time unaweza achwa tena...bania tuu Hiyo papuchi.
 
Utu wangu n zaidi ya hcho unachofikiria. Kama kweli mtu ana lengo la kuoa, kwann atake ngono kwanza wakati huduma hyo atapata tu akioa? Kuna ulazima gani wa kufanya haraka kuonjana onjana?
Hakuna mtu atakae kubali kukuoa bila kuonja.... Ukimuuzia mbuzi kwenye gunia....??? Kwan utu wako ni papuch??? Ukiolewa utu unapotea????
Anyway mpe hilo shart kwanza Huyo rafiki Wa x wako, kama atalipokea
 
Yupo mtu atakayekubali kunioa, sio wote wana mawazo kama yako kaka.
 
Wewe bado unampenda huyo x wako na kuna siku atakuja kuutumia huo udhaifu kuiharibu ndoa yako.ukiolewa na rafiki wa x wako utakuwa umevunja urafiki baina yao na kitakachofuata ni kisasi,huhanga utakuwa wewe,trust me kuna siku huko mbeleni utamvulia kyupi tu!!!!
 
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.

Hakuna shida ww olewa nae tu. Kwakua hata uyo ex wako amkujamiana. Napia n yy anaendelea n maisha y mapenzi n mtu wake mpya. Move on
 
Wewe bado unampenda huyo x wako na kuna siku atakuja kuutumia huo udhaifu kuiharibu ndoa yako.ukiolewa na rafiki wa x wako utakuwa umevunja urafiki baina yao na kitakachofuata ni kisasi,huhanga utakuwa wewe,trust me kuna siku huko mbeleni utamvulia kyupi tu!!!!
Kama sikuweza kwa kipindi chote hiki bas swez kusaliti ndoa yangu. I trust my heart!
 
Ndg yangu, sio kila binadamu anawaza ngono akiwa kwenye uhusiano. Ngono ni makubaliano ya wenye mahusiano. Hata hvo, kuwa bikra ama kutokuwa, hayo ni yangu na Mungu.

Sijaomba ushauri khs ngono au kutofanya.
kama hauwazi ngono unataka uolewe kwa misingi ipi ? hivi unajua binadamu wanaoana ilikufanya nini? kama haujui unavyoolewa unaenda kufanywa nini basi una walakini
 
Back
Top Bottom