muulize hiyo miaka 2 yote alikuwa anatobwa na nani ikiwa boyfriend wake hajawai kumpa je yeye bikra mpaka ameshindwa kumpa boy wake?
Eddy Love kumbe mh!
muulize hiyo miaka 2 yote alikuwa anatobwa na nani ikiwa boyfriend wake hajawai kumpa je yeye bikra mpaka ameshindwa kumpa boy wake?
hahahahahahaaaa mkuu nimebwatuka kwa kicheko mpaka watu wananishangaa!! mkuu pole sana!!mkuu nilipataga mwanamke 1 hivi tukaanza uhusiano,kumegana hataki anasema hapendi sex nikamuuliza wewe bikra akasema hapana,nikamuuliza umekubari tuwe wapenzi sasa kwanini hautaki tusex,eti hisia sina nikasepa zangu
mkuu we acha tu sex hapendi ila hela anaomba kama kawaida alidhani mie boya fulani kumbe nimebobea kwenye taaluma ya mapenzihahahahahahaaaa mkuu nimebwatuka kwa kicheko mpaka watu wananishangaa!! mkuu pole sana!!
dada mada zingine tunajibu tu maana hazina mashikoEddy Love kumbe mh!
hahahaah sikujui sura yako wala tabia yako, ila nimetokea kukuchulia kuwa ni mtu mpole, mwenye huruma, kiasi kwamba nimestuka nilivyoona lile neno hahahahaah. any way habari za mihangaiko lakini?dada mada zingine tunajibu tu maana hazina mashiko
una maono mazuri sana wala haujakosea,kuna muda ulimi unateleza sorry,mihangaiko iko pouwa kabisaa sijui wewe ndugu?hahahaah sikujui sura yako wala tabia yako, ila nimetokea kukuchulia kuwa ni mtu mpole, mwenye huruma, kiasi kwamba nimestuka nilivyoona lile neno hahahahaah. any way habari za mihangaiko lakini?
hahahaah, Mwanza kwema. karibuuna maono mazuri sana wala haujakosea,kuna muda ulimi unateleza sorry,mihangaiko iko pouwa kabisaa sijui wewe ndugu?
mie nataka sato tu hao ufanye maarifahahahaah, Mwanza kwema. karibu
Wapo wapo japo sio wengi bei iko juu tofauti na miaka ya nyuma. Unaweza ukawa mkoa ambao uko mbali na Ziwa Nyanza na ukanunua sato kwa bei ya chini tofauti na sie tulioko hapa Mwanza na mikoa mingine inayozunguka Ziwa letu hili. Samaki wameadimika, wananchi tunaharibu mazalia ya samaki kwa kutumia nyavu haramu (makokoro).mie nataka sato tu hao ufanye maarifa
Hata ilipo shida upajui!kwhyo nikiwa konda au dereva shida iko wapi?
Nashukuru kwa ushauri! Lakini sijawahi kufanikiwa kushawishi moyo wangu kusex na mchumba angu. Ni dhambi kwa Mungu na nikujishushia hadhi yangu. I think sex sio sababu ya kuachana maana n wengi wanavuana nguo na bado wanaachana tena kwa kashfa na matusi kuliko kwangu.Naomba kumshauri Lyn Vivac,sijui umri wake na unajua umri wa mwanamke kwa kiasi kikubwa unadetermine unaolewa na nani,
Unapokuwa between 20-25 hapo uta behave kama mtoto wa shule coz bado uko mikononi mwa wazazi for most of ur time.na hapa wasichana wengine huwa wamemaliza degree tayari.hapo unachoice maana unafuatwa na vijana wa umri wako mostly.ni kipindi ambacho mtoto wa kike anachagua sana wachumba hasa ma handsome na wenye uwezo kifedha.
25-30 hapa sasa ndipo ambapo dadaz wengi huwa wanatafuta wachumba kwa nguvu.ni kipindi ambacho unajiona umeanza kuzeeka na utahitaji mtu yeyote tu ajitokeze na wanaume wanaokujia mara nyingi huwa ni waume za watu.
Nimeanza hivyo sababu sijajua Baby Lyn ana umri gani,education status yake na financial position yake.
Sasa nataka nikushuhudie ukweli Lyn
Sisi waafrica hasa watanzania tunatafsiri mapenzi ni ngono,na ndio iko hivyo.ukiwa mpenzi wa mtu inamaana mnashiriki tendo la ngono,kwakuwa nyie sio kaka na dada,pili mko ktk opposite sex,sasa ukikaa na mtu kama mchumba for two year no sex sio sawa,kwanza wewe mwenyewe unajipotezea muda na muda wake bf wako pia,pili hata kama kuna mtu anania ya kweli ya kukuoa anakata tamaa coz anaona uko na mwanaume tayari,mnaenda shopping pamoja,natoka out for dinner pamoja,mnaingia gheto pamoja so watu wanajua basi washakukosa kumbe hata tendo hamshiriki.
Disadvantage yake ni kwamba ukikaa bila ku ngonoka huwezi jua kama mwanaume uliyenaye kama anauwezo wa kufanya tendo lenyewe au la no matter how handsome he is,anaweza kuwa na six packs kumbe sio rijali.
Na hii imetokea sehemu ambapo mie nimeunganisha watu,of course ilikuwa accidentally tu but wakapendana.
Mwisho wa siku wakawa wachumba,wakakaa nao miaka miwili bila kudo,huenda waliambiwa na wachungaji huko kanisani kwao wasido mpaka ndoa.haya wamefunga ndoa,kumbe mwanaume ku do hawezi,akijitahidi ni dk3 na anatoa povu,ili a do tena ni baada ya wiki 3.
Sasa leo ni mwaka wa pili wa ndoa yao na mwanaume ana force ku devorse,ili afiche udhaoifu wake.
Hii ni story ya kweli nakupa ukimpenda mtu Sex naye as long as umempa mitihani yako na kaifulu,ili ujue kama uko na mwanaume kweli.
So wewe kama utaendelea kubana bana utajikuta unazeeka hivi hivi.Mapenzi mwenzie Ngono bana.