tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Watu wakifanya kabla ya ndoa kosa wasipofanya kosa hivi binadamu tukoje lkn!!Umejifunza kosa lako??
Next time unaweza achwa tena...bania tuu Hiyo papuchi.
Watu wakifanya kabla ya ndoa kosa wasipofanya kosa hivi binadamu tukoje lkn!!Umejifunza kosa lako??
Next time unaweza achwa tena...bania tuu Hiyo papuchi.
Sasa ulitegemea mwanaume gani rijali akae miaka miwili bila kukojowa amsubili yeye?OLEWA WEWE!
mambo ya kukaa kumfikiria mtu aliyekutoa kafara kisa nini?
Subiri tu miaka inavyosonga mbele utaanza kupunguza masharti na vigezo kimoja baada ya kingine.Never happen, God never lie to me and never change his word. Atakayeshindwa kukubaliana nami bas sio wangu. Mlengwa atapatikana tu.
kwanini ulikuwa hujampa jamaa kibubu miaka 2 ya uhusiano wenu?labda tuanzie hapoHello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.
Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.
Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.
Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.
Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.
Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
On behalf of whaaaat? And the people of whaaat? Ok ok ok, i am Teacher whaaaaat?
Unaongelea nyakati zipi? Hizi si enzi za nanabii bro,Watu wakifanya kabla ya ndoa kosa wasipofanya kosa hivi binadamu tukoje lkn!!
Usimanue mpka akuoe usije ukamalizwa na marafiki zake wote!Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.
Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.
Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.
Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.
Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.
Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
Pole.Unaongelea nyakati zipi? Hizi si enzi za nanabii bro,
Kuonjana ni muhimu inaweza kumsaidia mdada vilevile asije kuolewa na hanithi, mnakaa vikao mnasumbuwa watu kuandaa sherehe kubwa wanandoa hawajawahi hata kupiga friend game mara malalamiko yanaanza mume wangu anifikishi, mara mume wangu ya kupepea and so and so, ni muhimu sana kwa mtoto wa kike kujuwa dhahiri shahiri anaolewa na mtu wa aina gani.
Kuna wanaume wengine wana miukuni kama punda na kuna wadada wana nyuchi zenye maumbile madogo, sasa hizi friend game zinasaidia kuyajuwa yote hayo na kuridhika nayo kwamba huyu ndio naenda kuishi naye for rest of my life.
Zipo kesi nyingi sana mtaani vijana wanashindwa kuwakojolesha wake zao na bado ni vijana wadogo hawana kisukari wala BP sasa wakifika miaka hamsini mke si anaweza kuishi kama mjane tu mpaka akakojoleshwe nje na masela? Nadhani kwa ulimwengu huu hasa mijini kuonjana ni muhimu sana ila with only one condition ni lazima mkapime afya wote wawili kama kweli wote mko serious kuingia kwenye ndoa.
Utaratibu ni uleule unakwenda kujilipuwa peke yako ukipata majibu mazuri ndio unapanga sasa appointment na mwenza wako kwwnda kupima kwa pamoja. Note usijilipuwe kabla hujajicheck peke yako kwanza.
Pole mimi au wewe? Am married with kids.Pole.
Pole kwa fikra zako. Mimi time yangu ipo tu kama ilivyokuja kwako, halafu huwez compete nami kwa suala la familia, unless tungekua rika moja. I'm not old enough to panic.Pole mimi au wewe? Am married with kids.
Just keep on kissing the wind you will get best results.
Pole mimi au wewe? Am married with kids.
Just keep on kissing the wind you will get best results.