Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

Hakuna mtu atakae kubali kukuoa bila kuonja.... Ukimuuzia mbuzi kwenye gunia....??? Kwan utu wako ni papuch??? Ukiolewa utu unapotea????
Anyway mpe hilo shart kwanza Huyo rafiki Wa x wako, kama atalipokea
mkuu inaelekea huyu Dada ni mchagga pure anataka kula bila kuliwa,ndio maana jamaa kaona amkimbie tu aende atakapopata vyote anavyotaka
 
Kubana papuchi sio kuolewa ex wako kakimbia kwa wewe kumbania miaka miwili hata mi nakimbia mapenzi kuenjoy bana sio kharaaa
 
Kuna watu wana moyo.

Miaka 2 bila kugusa kitu bado unasema eti una mchumba.

Inawezeka jamaa alikuacha sababu hamkuwahi kula tunda.

Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
 
Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena.

Nimependa thread yako.

- umeelezea mkasa

- umeelezea dilemma

- umeelezea mtazamo wako

- ukaomba ushauri.

Nami nasema hivi, hapo nilipopa-quote, hapohapo!
 
Binafsi huwa naamini ni vema na busara kwenda kwa mtu ANAYEKUPENDA YEYE kwa sababu WEWE UNAWEZA UKAJIFUNZA KUMPENDA, kuliko kwenda kwa UNAYEMPENDA WEWE, kwa sababu HUJUI LINI YEYE ATAJIFUNZA KUKUPENDA WEWE.

My point is:
Jaribu kumchunguza kwa viwango vyako, huku ukipima priorities zako ktk mapenzi, I mean wat qualities do u need from men. Ukishajua, utatoka kwny hyo dilemma faster. Ila la muhimu kujua ni kwmb they will no longer be friends, lazima watagombana au kutokuwa karibu tena na atakuzuia kuongea na ex wako kwa sababu sisi wanaume sometyms tunaamini kwmb wapenzi huwa hawaachani kwa sababu hajui nn kilikufanya umpende na kumvumilia ex wako.
Ila na ww kwann ulimnyima papuchi bana..!!! (just kidding)
 
Nimependa thread yako.

- umeelezea mkasa

- umeelezea dilemma

- umeelezea mtazamo wako

- ukaomba ushauri.

Nami nasema hivi, hapo nilipopa-quote, hapohapo!
ndugu si umeona amejijibu mwenyewe kuwa hawezi,hapo hapo anataka ushauri sasa tunamsaidiaje wakati majibu keshatoa
 
yaani kama maajabu basi hili nalo limo.
mkuu nilipataga mwanamke 1 hivi tukaanza uhusiano,kumegana hataki anasema hapendi sex nikamuuliza wewe bikra akasema hapana,nikamuuliza umekubari tuwe wapenzi sasa kwanini hautaki tusex,eti hisia sina nikasepa zangu
 
Mimi wala simlaumu huyo x kwa kukuacha, two yrs hajapata papuchi, alikuwa anamalizia wapi haja zake? Unakuta watu wengine wanaoana hawajawahi fanya chochote kumbe kitandani hakuna kitu, ungetakiwa umpe papuchi uone kama atakuacha. Ngoja akajilie zake papuchi kwa raha zake maana ulimfanya kaka yako.
Back to your topic, kama moyo wako umeshindwa kumsahau x wako its better usiolewe na huyo jamaa, maana kumbuka wao ni marafiki that means mtakuwa mnakutana mara kwa mara na utakuwa unaumia. Give yourself muda kidogo wa kutafakari na kujua unachokitaka, Ni vibaya kutoka kwenye mahusiano yaliyokuumiza na kuingia kwenye mahusiano mengine bila jeraha kupona. Utazidi kujiumiza zaidi. Otherwise Jumatatu njema
 
Usilolijua n kama usiku wa giza kwako.
Kwa jibu hili, kuna kitu kimejificha ambacho hutaki kukisema. Na hicho kitu kwetu ni usiku wa giza kweli kwa sababu hatukijui. Hicho ndo kimevunja uhusiano wako. Dont cry because its over, smile bcoz it happened
 
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
Sasa wewe ulitaka uolewe na Nyati? Mume keshajitokeza alafu unaanza kuzingua zingua. Changamkia fursa uvishwe pete mwakani tule pilau wana JF...
 
ndugu si umeona amejijibu mwenyewe kuwa hawezi,hapo hapo anataka ushauri sasa tunamsaidiaje wakati majibu keshatoa
Sio lazima ujibu kama unaona jibu, ukinyamaza utahesabiwa una hekima!
 
kama hauwazi ngono unataka uolewe kwa misingi ipi ? hivi unajua binadamu wanaoana ilikufanya nini? kama haujui unavyoolewa unaenda kufanywa nini basi una walakini
Ushasema kuolewa, hapo najua msingi wa ndoa. Na ndo maana naolewa kwanza ndo natoa huduma, sio huduma ndo ndoa. Hyo kanuni ni yenu.
 
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa wanamwambia kwamba wangetamani na wachumba wao wawe kama mimi.

Nilimpenda kwa vitendo, nilijitoa sana kwake, and alijua kwamba kweli nampenda. Sasa miezi kama miez 5 ilopita, alianza kumfukuzia dada mmoja hv, nilipomuuliza alinijibu vibaya vibaya, nikamvumilia bila kupunguza upendo wangu kwake, lakini kadri siku zilivyoenda aliendelea kuwa karibu sana na dada yule. Niliamua kumuuliza yule dada kama ana mahusiano na mchumba angu, alikataa kabisa japo alikiri kwamba alitongozwa na mchumba angu.

Lakini kwa walivyokuwa karibu sana, ilionekana tayari wana mahusiano. Hivi juzi tu nilipomuuliza mchumba angu khs mipango yetu alinambia kwamba "kama bado ulikua na malengo na mm delete, siwezi kumsaliti (........)wangu" alitaja jina lake, jambo ambalo liliniuma sana. Sikulia sababu nilikua nishaona direction ya uhusiano wetu. Bas, nilikubaliana na matokeo sababu sipendi kumlazimisha mtu ktk mahusiano.

Sasa, kazi ipo hapa... Mmoja wa marafiki za x wangu walioujua uhusiano wetu vyema anataka anioe (kwa mujibu wake). Nimemuuliza maswali baadhi lakini kubwa likiwa "unawezaje kumuoa mtu ambaye kabisa unajua alikua ni wa rafiki yako wa karibu sana"?
Huyu kaka amenijibu kwamba CV yangu inajiuza, anapenda nilivyokua namtendea mchumba angu, na anataka anioe next year.

Hapa nimebaki dilemma, hivi kweli ni busara kuolewa na rafiki wa ex wako? Ktk moyo wangu sidhani kama nampenda maana bado nina mawazo sijatulia kias cha kuanzisha mahusiano tena. Nahitaji busara zenu wapendwa. Busara zenu pamoja na maombi nayofanya yatanipa mwisho mzuri.

Kwa wenye midomo iso tohara tusameheaneni tu. Hili halinisaidii tu mleta mada bali na wengine kama huyu mleta mada.
Olewa mama achana na huyo jamaa wala hutakiwi kujiuliza mara mbili mbili mpe nafac ila usimpe penzi mpaka akuoe
 
kuna mama mmoja hivi anaitwa Celine Dion na anangoma yake inaitwa Love doesn't ask why tulia tuli halafu msikilize vizuri utapata kitu....Manfongo nimeandika hapa
 
take time kwanza ...... sasahivi upo underpressure usifanye maamuzi yeyote ile.. make sure unampenda kabla hujaamua kuwa nae
 
Back
Top Bottom