Hayo yote nilimwambia ila ndo akawa kama vile haelewi kang'ang'ana tu kunioa kwamba nina sifa anazohitaj. Halafu uadui utakujaje wakat yy ashaniacha akapata mwingine? Anyway, mi cwez kua nae nisijeleta uhasama.Amini nakwambia ukiolewa na huyo jamaa basi undugu wa urafiki mliokuwa ano na x wako unageuka kuwa uadui mkubwa sana
Hata huyo bwana hatakuwa na amani mbele za x wako kwa kudhani kwamba huenda mkasameheana na kuamua kusaliti
Muulize je ana wivu?Hayo yote nilimwambia ila ndo akawa kama vile haelewi kang'ang'ana tu kunioa kwamba nina sifa anazohitaj. Halafu uadui utakujaje wakat yy ashaniacha akapata mwingine? Anyway, mi cwez kua nae nisijeleta uhasama.
Umegunduaje? Nishirikishe puliziiNimekuja kugundua wanawake kwa kiasi kikubwa huolewa na wanaume wasiowapenda, no wonder wachepukaji wanawake siku hizi ni wengi.
Hahahaaa!! Twaweza walinisaidia.Umegunduaje? Nishirikishe pulizii
Eeeh so Twaweza walisemaje? TehHahahaaa!! Twaweza walinisaidia.
Walisema etiiiii, nimemmiss baba yako.Eeeh so Twaweza walisemaje? Teh
Sijui kama na yeye kakumissWalisema etiiiii, nimemmiss baba yako.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hanimisigi yule.Sijui kama na yeye kakumiss