Daktari wa Saikolojia Radio One Jumapili: Ukiona unafanya mapenzi na mkeo/mpenzi kisha 'Anafumba macho' jua 'Anakuchiti' sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Daktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama mkeo/mpenzi wako ukiwa unambaioloji (unamuwajibisha) kunakotukuka kama ni msaliti kwako au hapana.

"Ukiona unafanya mapenzi na mkeo au mpenzi wako kitandani halafu anafumba macho yake (yaani hataki kukuangalia machoni) jua anakusaliti, kwani anaogopa kukutizama kwakuwa anaona aibu na dhamira yake inamsuta."

Chanzo: Radio One Jumapili (kipindi cha Mazungumzo ya Familia) ambacho kinaongozwa na mtangazaji mrembo Tanzania nzima na nimpendae. Ila GENTAMYCINE (Balozi wa Kujiteua Kilazima wa hiki kipindi) naogopa kumwambia kwakuwa sina yyangu (hohehahe). Dada Farhia Middley akiwa na Mzee Mbishi Haji Kibwana na binti mrembo Amani kinachoanza saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili.

Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago (misura) yetu kutokana na giza totoro linalokuwepo chumbani.

Kuanzia sasa ni mwendo tu wa kuwajibika (kubaiolojiana) mchana na ikiwa ni usiku basi taa lazima iwashwe ili tuonane ana kwa ana, mubashara, ili kama niliyenae akiwa ananifumbia mimacho yake niwe namsindikiza na bonge la kofi (keleb) huku nikimshindilia na 'mkuyenge' wangu kwa hasira zote. Kwani nitajua kuwa ni 'Msaliti' kwangu kwa mujibu wa daktari wa saikolojia Radio One, Jumapili (Mazungumzo ya Familia) Dk. Charity Xavery.

Farhia Middley popote ulipo jua GENTAMYCINE nakupenda mno na sana tu. Halafu nimefurahi kujua kumbe Tanzania wewe ni Simba SC (Lunyasi) mwenzangu na kwa Uingereza ni mwana Liverpool FC (Jogoo) mwenzangu.
 
Daktari mahiri wa Saikolojia wa Kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili Asubuhi Radio One Charity Xavery ametoa Mtego mzuri Kwetu Wanaume wa kujua kama Mkeo / Mpenzi wako ukiwa Unambaioloji ( Unamuwajibisha ) Kunakotukuka kama ni Msaliti Kwako au hapana.

"Ukiona unafanya Mapenzi na Mkeo au Mpenzi wako Kitandani halafu anafumba Macho yake ( yaani hataki Kukuangalia Machoni ) jua anakusaliti kwani anaogopa Kukutizama kwakuwa anaona Aibu na Dhamira yake inamsuta"

Chanzo: Radio One Jumapili ( Kipindi cha Mazungumzo ya Familia ) ambacho Kinaongozwa na Mtangazaji Mrembo Tanzania nzima na Nimpendae ila GENTAMYCINE ( Balozi wa Kujiteua Kilazima wa hiki Kipindi ) naogopa kumwambia kwakuwa sina Vyangu ( Hohe Hahe ) Dada Farhia Middley akiwa na Mzee Mbishi Haji Kibwana na Binti Mrembo Amani kinachoanza Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili.

Baada ya huyu Daktari leo Kuusema huu Ukweli nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda Kuwajibika ( Kubaioloji ) Usiku tu huku Taa ikiwa imezimwa nahisi Wapenzi Wangu huwa hawaishii tu Kunifumbia Macho bali huenda hata huwa Wananizomea na Kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani Minyago ( Misura ) yetu kutokana na Giza Totoro linalokuwepo Chumbani.

Kuanzia sasa ni mwendo tu wa Kuwajibika ( Kubaiolojiana ) Mchana na ikiwa ni Usiku basi Taa lazima iwashwe ili tuonane ana kwa ana Mubashara ili kama niliyenae akiwa ananifumbia Mimacho yake niwe namsindikiza na bonge la Kofi ( Keleb ) huku nikimshindilia na 'Mkuyenge' wangu kwa Hasira zote kwani nitajua kuwa ni 'Msaliti' Kwangu kwa mujibu wa Daktari wa Saikolojia Radio One Jumapili ( Mazungumzo ya Familia ) Dk. Charity Xavery.

Farhia Middley popote ulipo jua GENTAMYCINE Nakupenda mno na sana tu halafu nimefurahi kujua kumbe Tanzania Wewe ni Simba SC ( Lunyasi ) Mwenzangu na kwa Uingereza ni mwana Liverpool FC ( Jogoo ) Mwenzangu.
Nawatetea amewasingizia, what if mwanga wa taa unawaumiza kutokana na wao kutazama dari
 
Mimi huwa najua wanavuta hisia kukumbuka minyanduo ya wapenzi wao wengine ambao waliwah fanya nao na sio kukuonea aibu kama mtaalam alivyosema hapo
 
Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago (misura) yetu kutokana na giza totoro linalokuwepo chumbani.

Umeliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanawake wanakodoa macho kodoo wakati wa ku- do afu wanacheat kinyama.

Uzi wako hauna mashiko hata kidogo.
nimewasilisha kile kilichosemwa na Daktari Mtaalam na Mtafiti tatizo liko wapi Kwangu hapa?

Nawe ningekuona una Akili kama ungempinga kwa Facts zako na siyo huu Uswahili ( Uenyeji ) wako ulionionyesha katika hii post yako.
 
Daktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama mkeo/mpenzi wako ukiwa unambaioloji (unamuwajibisha) kunakotukuka kama ni msaliti kwako au hapana.

"Ukiona unafanya mapenzi na mkeo au mpenzi wako kitandani halafu anafumba macho yake (yaani hataki kukuangalia machoni) jua anakusaliti, kwani anaogopa kukutizama kwakuwa anaona aibu na dhamira yake inamsuta."

Chanzo: Radio One Jumapili (kipindi cha Mazungumzo ya Familia) ambacho kinaongozwa na mtangazaji mrembo Tanzania nzima na nimpendae. Ila GENTAMYCINE (Balozi wa Kujiteua Kilazima wa hiki kipindi) naogopa kumwambia kwakuwa sina yyangu (hohehahe). Dada Farhia Middley akiwa na Mzee Mbishi Haji Kibwana na binti mrembo Amani kinachoanza saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili.

Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago (misura) yetu kutokana na giza totoro linalokuwepo chumbani.

Kuanzia sasa ni mwendo tu wa kuwajibika (kubaiolojiana) mchana na ikiwa ni usiku basi taa lazima iwashwe ili tuonane ana kwa ana, mubashara, ili kama niliyenae akiwa ananifumbia mimacho yake niwe namsindikiza na bonge la kofi (keleb) huku nikimshindilia na 'mkuyenge' wangu kwa hasira zote. Kwani nitajua kuwa ni 'Msaliti' kwangu kwa mujibu wa daktari wa saikolojia Radio One, Jumapili (Mazungumzo ya Familia) Dk. Charity Xavery.

Farhia Middley popote ulipo jua GENTAMYCINE nakupenda mno na sana tu. Halafu nimefurahi kujua kumbe Tanzania wewe ni Simba SC (Lunyasi) mwenzangu na kwa Uingereza ni mwana Liverpool FC (Jogoo) mwenzangu.
Hivi Kuna watu kweli huwa mnazima taa mnavo nyanduana. Khaa. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi bado mnasikilizaga tu hizo redio?
 
Back
Top Bottom