Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Nikiwa uwanja wa JKN mchana wa leo nimeonana na RA akiwa amevaa shati jeupe la mikono mifupi na jeans .Alikuwa na simu kibao anaranda randa kwenye lounge angojea ndege ya Mwanza ambayo ilikuwa inapitia Musoma kwanza .Ndege kama kawaida ya Precision air ilichelewa kuondoka na jamaa akawa anapiga simu hovyo anasema kuna ucheleweshaji huo na alikuwa so confused .Sasa sijui kama ni huo uzinduzi wa kesho umempa ugumu au ni kitu gani ila kweli jamaa alionekana so stressed .