Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,045
Weekend iliyopita RA amefanya tafrija ya kujipongeza kwa kulipua bomu jipya liitwalo NYANGUMI WA UFISADI.
Tafrija hii imefanyika nyumbani kwa RA, maeneo ya ubalozi wa Marekani wa Zamani, kuna mnara wa vodacom. (wengi walifikiri RA aliposema yeye siyo sawa na Mengi anayeishi kwenye mafleet basi hana pango Dar! Mbaya zaidi hili pango lilikuwa nyumba ya serikali)
Wengi wa walioudhuria tafrija hii ni vibaraka wa RA toka usalama wa taifa na tasnia ya habari. Mawaziri kama Marsha pia walikuwepo.
Vibaraka wote walipewa bakshishi ndani ya bahasha katika viwango tofauti. Usalama wa taifa laki moja wakati waandishi wengi walipata bahasha za alfu kumi.
Tafrija ilifana na ilipambwa na wimbo wenye kiitikio kimoja tu umemumaliza Mengi
Nikiripoti toka kona ya Earnest & Young, ni mimi zao la watoto wa chabo, utajaza .