RA ajipongeza kwa tafrija

Mimi kinachonifanya ni muapreciate RA ni uwezo wake wa kufanya watu wazima wenye akili zao timamu wajigongegonge kwake. Hivi tuna-njaa namna hiyo jamani??
 
Hivi waandishi wa TZ ni rahisi kiasi hicho? Shilingi elfu kumi??? Hao UWT nao kweli laki moja? Napata taabu kuamini stori kama hiyo. Kumbuka bei ya mafuta iko juu na hongo ni lazima iwe na mvuto..... Tukitunga tutunge kwa akili zaidi....

Wewe unaishi nchi gani ndugu yangu? Na kama uko nje hujarudi Tz siku nyingi sana. Sh10,000 kw m/habari ni nyingi sana. Bia moja tu inatosha. Hata hao UWT kwisha kazi. imeshakuwa taasisi ya kujuana, kurithishana, na kubebana, imejaa mafisadi, majambazi, matapeli, wezi, vibaka, wahuni, machangu doa, na wazungu wa unga. Kama mnadhani serikali iloyoko sasa madarakani ni serikali inayostahili jina hilo mnajindanganya. Ni genge la wahuni ambao nia yao ni moja tu kujitajirisha.
 
rostam.jpg
 
couldnt think of another metaphor, as long as huyu jamaa remains untouchable, that is what he has the country doing to him...
 
Back
Top Bottom