Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,249
- 360
Acha hizo!alimsamehe na akatengana nae bila kubaki na kinyongo. Kwa mila za kina Madiba ukifika level ya kuheshimika kama Madiba mkeo akikusaliti wakati upo nae(kumbuka aliendelea kumsaliti hata baada ya madiba kutoka jela) ni lazima umuache ili uendelee kuheshimika.
Madiba alivyotoka jela umri ulikuwa umeenda, nguvu zilikuwa zimepungua, Winnie alikuwa bado ana nguvu.
Kama unakumbuka, Madiba alifurahi ilivyogunduliwa viagra. Winnie alikuwa ameshazoea mchakamchaka wa damu changa.