R.I.P.Madiba lakini... !

R.I.P.Madiba lakini... !

Ni kweli Mandela alipotoka gerezani aliendeleza na winni,lakin Winni aliendelea na yule hawara wakati yupo Mandela wanaishi nae,mzee akabwaga manyanga
 
Kwa hiyo unataka uliwe halafu usamehewe?? Kwanza mwanaume kuwa na mwanamke nje ya ndoa ni crime against morality sio mkewe upo hapo?? Lakini kwa mwanamke ni both.

Kwa mujibu wa ????
 
Tatizo la Winnie hata baada ya Mzee Mandela kutoka jela aliendelea kumchit na dogo dogo wake Dube
 
U don't know the whole story so sht up..!

Kaka kaa tuu kimya, naona unakuwa tofauti kwa kutaka tu kuwa tofauti hata kama ni "ufala", pole lakini ingekuwa wewe mkeo kakucheat ungemsamehe?? Na umemjua na bado anaendelea ungemfanyaje?? Sio unajitofautisha tu jitofautishe kwa mantiki
 
hii siyo kweli.....
kuna wanaume wengi tu wanasamehe hilo.....
wanaoshindwa kusamehe hilo ni kwamba mapenzi kwa wake zao yameisha tu, siyo sababu ya uzinzi.....
ni kama tu ambavyo wanawake wanaoshindwa kusamehe waume zao wazinzi sababu mapenzi yameisha.

KWanza mpaka mtu akucheat mapenzi yameisha teyari mamii!!

So unaponstukia binafsi sioni sababu ya kuendeleza mapenzi ambayo hayapo!!

Wewe ushasamehewa/kusamehe?? Kama bado, utasamehe ukigundua with all the evidence kwamba wadanganywa???
 
Kwa hiyo unataka uliwe halafu usamehewe?? Kwanza mwanaume kuwa na mwanamke nje ya ndoa ni crime against morality sio mkewe upo hapo?? Lakini kwa mwanamke ni both.

According to who?? Silly!
 
Rolihlahla alimtaliki Winnie Madikizela baada ya kashfa ya Winnie kuhusika katika kifo cha kijana mario wa Winnie.Kijana alikuwa Mwanaharakati wa ANC akauwawa,ilikuwa bonge la skandali.Lakini mapenzi hayana mwisho akampata mjane wa Samora Machel mamaa Graca Machel.
 
Unachanganya siasa na maisha binafsi ya mtu... kuwasamehe wazungu that was a political move. Who knows if he really forgave them in the inside?

Tusichanganye siasa na maisha, uzuri wake hata yeye mwenyewe Mandela alikiri kuwa kumuacha mwanamke ambaye yuko late 20's nje, at some point she will fall kwenye temptations, still that can not be the justification for cheating
 
Kaka kaa tuu kimya, naona unakuwa tofauti kwa kutaka tu kuwa tofauti hata kama ni "ufala", pole lakini ingekuwa wewe mkeo kakucheat ungemsamehe?? Na umemjua na bado anaendelea ungemfanyaje?? Sio unajitofautisha tu jitofautishe kwa mantiki

Ni jukwaa huru tunashare ideas...!sometimes tunaweza kuwa provoked somehow na kutumia hash languanges but all in all tuchangie kwa amani na upendo huku tukijua yakuwa hatuwezi, kufanana kwa kila jambo
 
Rolihlahla alimtaliki Winnie Madikizela baada ya kashfa ya Winnie kuhusika katika kifo cha kijana mario wa Winnie.Kijana alikuwa Mwanaharakati wa ANC akauwawa,ilikuwa bonge la skandali.Lakini mapenzi hayana mwisho akampata mjane wa Samora Machel mamaa Graca Machel.

Kwenye mapambano lolote laweza kutokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom