R.I.P. Dr. Remmy Ongara

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,841
45,652
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Wazo halijakamilika. Chanzo hakijathibitika. Na mie msomaji wako nimepata kughadhibika.

Ulikua unasemaje hasa??
 

Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
1,031
may the almighty one rest Dr Remmy's soul in peace and may his good deeds continue to shine in the afterlife kingdom
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Eeeehhhh ...??

Bado siwaelewi ndugu zangu hapa. Mnamaana ya 'KWA HERI' Dr Remmy katuacha au 'KWA HERI' jina la wimbo wake mojawapo baada ya kupata WOKOVU??? Jamani, tujue namna ya ya kuwashilisha ujumbe vizuri!!!
 

S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,138
68
I am sorry to say...Remmy Ongara amezushiwa kufariki mara kadhaa....hivyo mpaka pale nitakapo pata chanzo cha hii habari nitasita kutoa pole.
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'

Ooohhh Jamani, NO no no no!!!

Anyway, kama ni kweli ... tumuombee salama kwa Mungu na apumzike kwa Amani ya Milele. Na kwa masikitiko makubwa nasema MPIGANAJI wa nguvu wa SAUTI YA MNYONGE atakua amesalimu amri.

Khwri uendako Daktari!! Nitamkumbuka sana na wimbo wa 'Masikini na Basketi, Tajiri na Mali yake. Japo aliuimba siku nyingi sana lakini usahihi wake Tanzania ya leo unatisha ambapo Matajiri wameamua KUJITWALI HADI NA BASKELI HIYO YA Mnyonge kwa maana ya Kuiteta CCM na wakulima na wafanyakazi kutupwa nje.

Nakulilia Remmy, Amen.
 

Nicky82

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
941
64
Kwa habari nilizozipata sasa hivi mwanamziki mahili wa mziki wa Tanzania Dr. Remmy Ongara amefariki dunia, tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.

RIP Remmy tutakukumbuka milele kupitia nyimbo zako 'tajiri na gari yake masikini na watoto'

Aisee tusaidie kuulizia hiko chanzo chako jamaa alikuwa mgonjwa, alilazwa, pressure au ajali?
Kwa sasa nareserve pole zangu hadi hapo habari hii itakapokuwa confrirmed.
 

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,514
4,156
wahusika tafadhali hii habari hebu itafutieni mahala husika.
hili ni jukwaa la Siasa na Dakta hakuwahi kuwa hata katibu tarafa...
So toa hii hapa.
Nikihakikisha kuwa ni kweli basi pole zangu nitaziandika nitakapoikuta habari hii, lakini si hapa
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,923
Siku ya kufa ni wimbo aliimba kwa Mzee Makassy ambaye ni mjomba wake Remmy Ongalla.....

 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom