Wala kwa sasa hakuna mtu zaidi yako Chocs
Nakupenda sana
Copy kwa Kipipi (Uko Likizo) Amyner (Lea mwanangu kwanza)
Wengine mniache nipumueeee na Chocs wanguuuuuuuuuuuu
Hahahahaaa bado sijapata uhakika kama umemuacha kiukweli. Niliyemsahau ni swthrt FP ambaye baada ya TANMO kuonyesha huruma nilimwachia ila nampenda sana hadi kufa