Quora mtandao pendwa duniani

Quora mtandao pendwa duniani

Futa kauli mkuu. Quora ni verified members huku ni hidden members.
Quora kuna maarifa kamili hasa computer science, wakati JF wajuzi wanajishaua kishenzi.Quora kuna madini mkuu.
Every question is answered deep and partialy.
Intelkectual wenye uzoefu manguli waliofanya kazi mpaka white house,google,facebook,NASA.Achana na huo mtandao mkuu, wamerekani tuwaache tu, wale ni watu wengine.
I have got acvount there and i enjoy more to be there.
Jf tuikuze iwe kama Quora itapendeza sana.
JF ikiwa kama Quora itapoteza uhalisia wake
 
Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko

Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.

View attachment 1893200
Mkuu mimi ni member wa Quora kwa muda sana. Lakini nilikuwa nikisoma tu maswali na comments za wadau wengine. Sijawahi kuuliza swali japo natamani sana. Maana watu wanajibu professionally. Nielekeze jinsi ya kutupia maswali huko
 
.
Screenshot_2021-08-15-16-13-29-12_f549d92f2139e58231f988f2c4db8084.jpg
 
Kule wengine tupo kama obsever na hii english yetu ya the the
The best way to improve your english is to write texts and to speak the language. Hata kama ni mistari mitano andika.
Kuandika na kuongea ni vitu muhimu sana.
Niliacha kuandika huko quora miaka 2 iliopita, juzi nimefanya test/ online interview moja ya kingereza kwa kujiamini kuwa najua, nimefeli vibaya mpaka nikajishangaa. CS sijawahi pata chini ya B, nimehemka kisa siitumii hio lugha muda mrefu,siongei, siandiki.
Kutoandika inashusha sana CS yako.
Inabidi tuandike tuongee, tujadili maana kuna siku unapata interview ya ghafla halafu unachemka kwa sababu huna maandalizi yoyote.
Kuwa competent muda wote ni kuitimia lugha hasa kama bado wewe ni under 45 na una ndoto nyingi kwani lugha ndio kiunganishi chetu.
 
Back
Top Bottom