That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,227
- 3,707
Mkuu naona calculator ya resistor (ohms)View attachment 1893322
Sijui kwanin hua inazingua some tim kufunguk
Mkuu naona calculator ya resistor (ohms)View attachment 1893322
Sijui kwanin hua inazingua some tim kufunguk
Pole sana!Tofauti ya Quora na JF ni lugha tu
siyo kizungu kiwe kinapanda kidogo; sema kizungu kiwe kinapanda sana na uwe vizuri kule upstairs.Ni mtandao mzuri ila kizungu kiwe kinapanda kidogo
😅😅😅 Daah! Umenikumbusha ya "people used to die in the rake"Kule wengine tupo kama obsever na hii english yetu ya the the
Mkuu naona calculator ya resistor (ohms)
Kuna app nyingine inaitwa Eletronic componets iko vizuri, icheki pia.Ayo ndio mamb yangu mkuu
Bila kusahau kitu "Able To Know (Able2Know)Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko
Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
View attachment 1893200
Tukijiunga wabongo wengi huko ,utoto lazima uwepo tu,jf ilivyokuwa serious lakini utoto ulianza kidogo kidogoAise sijui swali gani la msingi uulize halafu usilikute limejadiliwa Quora
Ni kama JamiiForums tu sema kule hakuna utoto ni hoja tu za msingi
Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Kuna app nyingine inaitwa Eletronic componets iko vizuri, icheki pia.
Hakika mkuuThe best way to improve your english is to write texts and to speak the language. Hata kama ni mistari mitano andika.
Kuandika na kuongea ni vitu muhimu sana.
Niliacha kuandika huko quora miaka 2 iliopita, juzi nimefanya test/ online interview moja ya kingereza kwa kujiamini kuwa najua, nimefeli vibaya mpaka nikajishangaa. CS sijawahi pata chini ya B, nimehemka kisa siitumii hio lugha muda mrefu,siongei, siandiki.
Kutoandika inashusha sana CS yako.
Inabidi tuandike tuongee, tujadili maana kuna siku unapata interview ya ghafla halafu unachemka kwa sababu huna maandalizi yoyote.
Kuwa competent muda wote ni kuitimia lugha hasa kama bado wewe ni under 45 na una ndoto nyingi kwani lugha ndio kiunganishi chetu.
HahahahaNdiyo umegundua leo?