Quora mtandao pendwa duniani

Quora mtandao pendwa duniani

Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko

Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.

View attachment 1893200

Best-Quora-Answers.jpg
 
Inasemaje hyo

Ha haaa, mtandao wa kuongeza IQ za utamu, 😍❤💋💖💕💞 very very important, ndoa nyingi zinavunjika sbb watu wanajua sana kila kitu, heshima kibaoo tu, nidhamu kibao tu, sura na umbo bomba sana tu, usafi kwa sana tu, ila ukija SEX almost zero kabisa. Haa haaa, mtajua huko, changanyeni yote, Quora, XHamster, XVideos, JF, Insta, FB, Google + other high end educational webs.. Upate complete set.


Haa kwa kherii
 
Quora ni zaidi ya elimu asee, huwezi kosa kitu unachotafuta, utakutana na watu mbalimbali duniani waliowahi ku share maoni yao na ku comment, ni mtandao uliobase sana kataka kufahamu kupitia njia ya kuuliza maswali
 
Watu wanasumbuliwa na ulibukeni! Quora mbona ya kawaida tu pumba na ngano zote zipo
 
Ugubduzi wa artificial intelligence hasa chatbot kama chatgpt na bard umeiathiri sana quora
 
Back
Top Bottom