Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,864
- 3,674
Kuna kazi ya darasani niliweka reference from Quora. Huo mtandao ni sheeda
Threesome experience Nata Mimi nimecomment mle kanisomeQuora nondo nyingi sana.
Tofauti sana,kule kuna proffesionals ambao ni verified,ukiuliza swali ukalielekeza kwa hao watu ukipata jibu unapata jibu haswa la uhakikaTofauti ya Quora na JF ni lugha tu
Nahisi huwa inahitaji stable nertworkView attachment 1893322
Sijui kwanin hua inazingua some tim kufunguk
Nakuunga mkono 100% ukitafuta kitu google kwa kiswahili majibu mengi utayakuta humu mjengoni ukitafuta jambo kwa kingereza majibu mengi yatatoka quoraTofauti ya Quora na JF ni lugha tu
Hata huko Quora siku hizi wameingia wahuni labda kama umeujua leoView attachment 1893365Kama unaakili timamu unakosaje Application za Jamii Forum, LinkedIn twitter na Quora japo twitter imekua ya kipuuzi tu siku hizi.
Threesome experience Nata Mimi nimecomment mle kanisome
Inasemaje hyoXHamster pia iko makini sana kujifunza mambo ya watu wakubwa.
Yaap, quora inafariji kwa wanaopenda kusoma.Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko
Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
View attachment 1893200
Na point piaTofauti ya Quora na JF ni lugha tu
IpoMbona siioni playstore?
Ukiuliza swali la maana humu hakuna anayejibu.Futa kauli mkuu. Quora ni verified members huku ni hidden members.
Quora kuna maarifa kamili hasa computer science, wakati JF wajuzi wanajishaua kishenzi.Quora kuna madini mkuu.
Every question is answered deep and partialy.
Intelkectual wenye uzoefu manguli waliofanya kazi mpaka white house,google,facebook,NASA.Achana na huo mtandao mkuu, wamerekani tuwaache tu, wale ni watu wengine.
I have got acvount there and i enjoy more to be there.
Jf tuikuze iwe kama Quora itapendeza sana.