swytie love
Member
- Jan 30, 2014
- 75
- 5
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
Kwani hakuna ambao hawajaoa? Halafu tumesikia wanapenda michepuo, tena kwao ni kawaida sana, ni kweli?
kwani kuna mwanaume wa kibongo ambaye hapendi michepuo?
Wapo baadhi sio wotee
Wana kitabia cha kuoa mke mwingine hasa baada ya kukuzalisha.
Wifi,kaka zangu hawana noma yaani,ila tu usiwe mchoyo maana wasukuma wana tabia ya kujazana jazana ila kama unaolewa na kwangulija do not worry!kama unaolewa na Tangi kazi unayo mama usiwe mchoyo utapika fugo kubwa ya ugali jiandae.Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
J.lee waambie mama 2navyoenjoy daily. Ukiniudhi nakupiga na kipande cha Almasi ya mwadui ukiugua nakubembeleza na mashishanga, ukideka nakupoza na dhahabu ya geita. Ndo mambo yetu hayo.
wako romantic sana aisee
Kwani hakuna ambao hawajaoa? Halafu tumesikia wanapenda michepuo, tena kwao ni kawaida sana, ni kweli?
J.lee waambie mama 2navyoenjoy daily. Ukiniudhi nakupiga na kipande cha Almasi ya mwadui ukiugua nakubembeleza na mashishanga, ukideka nakupoza na dhahabu ya geita. Ndo mambo yetu hayo.
wako romantic sana aisee
Umeona ManKam 2navyoenjoy. Jitwalie na wewe ila usiwe mchoyo na mwenye kibur heshima k2 muhim
Sio kweli..wengi ni madomo zege hivyo akibahatika kuwa na mahusiano lazima ang'ang'anie kwani kwake kuanzisha mahusiano mapya ni shida.
Umeona ManKam 2navyoenjoy. Jitwalie na wewe ila usiwe mchoyo na mwenye kibur heshima k2 muhim
Yaap kuinjoy kunahusika kwa kwel ushndwe wewe tu
Haya ndiyo yananishindaga! Ngoja na mie niandae kidumu mapemaa!
tinna naomba nijuze vizur hapa umenishtua sana
Baada ya kupata mtt tegemea kusikia bwana ana mke alie lipiwa mahari kabisa,,,,,,,,
Mume akiwa msomi atafanya ki staarabu lkn akiwa ngombale mwilu huyo mke utaletewa ndani ya nyumba..
As time goes on atakuona we ni mlezi wa familia na kusimamia biashara au mashamba na mifugo so atatafutwa wa kula nae bata na kusafiri nae pia bi mdg permanent lazima awepo atakae kuwa anatambulishwa kwa rafiki na ndugu.
Mkuu BRN ntafanya research then ntakuja na mrejesho very soon
Sijawah kukuona umeandika kidhungu hata siku moja huko pm nifuate nini??
they are great lovers for sure
ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula