Question- wasukuma and Love relations

Question- wasukuma and Love relations

You'll pass what? I'm lost....

Who?

You don't wanna be a pushover?

Sasa akupe mbinu za kuomba msamaha wa nini kama umesha-pass na hutaki kuwa pushover? Am I missing something here....?

Unajua nini NN, if he just gamme a sign that there is something worth fighting for I swear I will fight tooth and nail to get him back, whatever it takes.

Kama nilivyokuambia its not so clear where we are right now.

And some little pride in this silly goose makes her reluctant to wait forever.

So akinipa mbinu, nitapima na niliko na huyo pasua kichwa then nitaangalia.
 
Oh well...basi ni bora uendelee tu na yako naye umwache aendelee na yake.
 
mwanaume wa kisukuma akikupenda hata kama una chongo uta-enjoy kwa ma lovey dovey ya kufa mtu, atakuamini 100% ila hawapendi ma-sista du. na ni wahongaji. ila wale wa Bariadi ni wabahiri kiaina.

mwanamke wa kisukuma (mimi) tunapenda hadi tunajisahau. sasa ukikutana na tapeli wa mapenzi atadhani unataka hela zake (kama zipo) kumbe ni nature yetu. kwenye department ya mapishi tunapenda kupika chakula kingi maana wanaume wetu wa kisukuma lazima ale asaze ndo anajua kweli ana mwanamke. na hawapendi viporo

all in all wanaume wa kanda ya ziwa especially mwanza na musoma (wakurya, wajita, wazanaki, wajaluo etc) ni wahongaji sana....anaweza hata akakupa msahahara wote wa mwezi.

sasa siyo mkaibe waume za watu...
 
Hahahaha. Ungeniona nilivyokunja ngumi? ***** I wish ungekuwa hapa!

Give me that sign stop playing dumb.

Nikupe sign kwani mi mumeo? Na mie nna mke kama wewe ulivyo na mume....na huwa sichezi wife swap mimi.
 
mwanaume wa kisukuma akikupenda hata kama una chongo uta-enjoy kwa ma lovey dovey ya kufa mtu, atakuamini 100% ila hawapendi ma-sista du. na ni wahongaji. ila wale wa Bariadi ni wabahiri kiaina.

mwanamke wa kisukuma (mimi) tunapenda hadi tunajisahau. sasa ukikutana na tapeli wa mapenzi atadhani unataka hela zake (kama zipo) kumbe ni nature yetu. kwenye department ya mapishi tunapenda kupika chakula kingi maana wanaume wetu wa kisukuma lazima ale asaze ndo anajua kweli ana mwanamke. na hawapendi viporo

all in all wanaume wa kanda ya ziwa especially mwanza na musoma (wakurya, wajita, wazanaki, wajaluo etc) ni wahongaji sana....anaweza hata akakupa msahahara wote wa mwezi.

sasa siyo mkaibe waume za watu...

Nimeshawahi kusikia kuhusu Wajaluo pia.
 
Oh kumbe....haya. Ngoja nirudi kwa mke wangu basi.

Mke wangu kama upo humu leo hebu nigongee like basi....

Oh yeah, sorry if I appeared to have led you on.

Rudi bwana weeee nisikuvurugie ndoa mie Karucee mie.
 
To believing you were the object of discussion.

I'm not an object. Perhaps you meant to say subject.

But nah, nothing was serious at least not on my end. Everything was said with tongue in cheek.

Deuces.
 
Subject, yes. Thank you.

Same here.

TC.:humble::humble:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom