Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Sifa zote muhimu kama zipi?
Lol...ushabiki utakutoa macho mwaka huu!

Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled

And a bonus, a bundle of joy; a kid
 
Sifa zote muhimu kama zipi?
Lol...ushabiki utakutoa macho mwaka huu!
Mpole, mnyenyekevu, msikivu! In short mtoto katulia, go ahead Mr.,.mie pia nakuweka kwenye maombi jioni ya leo, hivyo jihesabu ushampata kwini kami!
 
Mr Mikael karibu
inawezekana yupo busy kwa sasa
asipojitokeza hapa mtumie Private message

nakutakia mafanikio mema

Asante dada ila hiyo private message naona ni wazo zuri sana ila namtumiaje.
Kama hutajali naomba unielekeze.
 
Moja: Anajiamini
Mbili: Gentleman
Tatu: not too kijana
Nne: established and Settled

And a bonus, a bundle of joy; a kid
Khaaa Mr. Mike ana bahati, yuko kwenye timu ya ushindi tayari...
Halafu hiyo bonus Gee nimeikubali sana!
 
Khaaa Mr. Mike ana bahati, yuko kwenye timu ya ushindi tayari...
Halafu hiyo bonus Gee nimeikubali sana!

kitu chochote ukikianza kwa maombi lazima kifanikiwe,
yaani mkuu nilijua nitashambuliwa lakini naona mmenielewa na kwa upendo mnanitia moyo.
nawashukuru sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…