Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke wangu

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, elimu yangu nimesoma mpaka chuo nilisomea mambo ya business administration ila sijaajiriwa bali nimejiajiri mwenyewe (mfanyabiara).
Sifa zangu;
~ Mweupe (maji ya kunde).
~ Mrefu ila sio mrefu sana wastani.
~ Mpambanaji.
~ Mkristo.
~ HB.

Mwanamke ninayemtaka awe na sifa hizi;
~ Muajiriwa (Nesi, daktari, Mwalimu, Askari, Mwanajeshi na n.k).
~ Awe Mkristo akiwa Muislam awe tayair kubadilisha dini.
~ Umri kuanzia miaka 24 na kuendelea.
~ Sijachagui rangi, sema awe mrembo, I mean mzuri.
~ Mwenye nia kama yangu ya kupata life partner.
~ Kama ana mtoto asizidi mmoja, sema akiwa hana mtoto itapendeza zaidi.

MImI kwasasa nipo Morogoro kibiashara na ndio makazi yangu kwasasa, so nikipata mtu ambae yupo Morogoro au karibu na hapa itapendeza zaidi.

Njoo DM ukiwa serious, kama hauko serious ishia kwenye comment tu.
 
ndoa inahatua tatu ambazo urafiki,uchumba na ufungwaji ndoa yenyewe ...unataka mchumba!!! na hatua ya urafiki umemwachia nani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom