chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,054
- 34,931
Hii ndio point kubwa siipendi miradi ya wahindi na waarabu hapo watajazana wahindi kutoka Bombay Delhi Punjab kwenye nafasi zote za juu za kati mbongo ataishia shambani huko kukata miwa.Kaeni tayar kuwapokea wahindi mambumbumbu ila wakiitwa wataalam kama wale wa American supermarket
Muhindi anaweza nae kukata miwa sawa na mbongo akalipwa mara tatu ya mbongo bora uwekezaji wa African Chinese European American hawa wananjaa tu na uswahili mwingi kama sisi wala hatuchekani.