Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 939
- Thread starter
- #61
Jamaa gani. Wamekaa kidili kivipi. Name atleast two instances ambazo una uhakika.
Itzmusacmb
Itzmusacmb
Kabisa yani
Kabisa yani
TwawezaWhere do we get those facts?
Chanzo ni press conference iliyofanyika majuzi pale na kuripotiwa sana katika vyombo vya habariHabari haina chanzo?
Mkuu Song
QGL wanaweza udalali na sio uzalishaji.najua mnatafuta "access" ya kumfikia Magu.hiyo "style" sio yenyewe badilini mbinu.
Nashauri angalau mfungue kiwanda cha "sukari guru" kwanza halafu mje na hizo story za "sukari nyeupe".
Kwa style hiyo mlokuja nayo hata PM hamtampata.
Nilikuwa naogopa bure tu. Kumbe 10m USD zinatosha kuanzanisha kiwanda cha sukari.
Jambo la baraka sana hiliJambo jema sana
Labda "vita" iliyopo ni ya uwekezaji na maendeleo bossNaona Vita ya kumuingia mkuu wa kaya bado IPO.na ni kubwa tu.yeye ni nani asiingilike!
Quality Group inatumia maeneo yake. Haisubiri vya kupewa mkuuHawajapewa kiwanja cha bure
Msalimie Fujo hapo NYUMBANI PARKMimi najua kampuni inayoongoza kwa biashara hapa kwetu ni Bakhresa akichuana kwa ukaribu na Mo Dewji wengine hawa kelele nyiiiiiiiiiingi! Labda QGL angesema kwa ma-deal ndo yuko vizuri kuna jengo alinunua kwa bil.7 akaliuza tena kwa bil.32 na akamwuzia yule yule aliyemwuzia yeye! Mimi siwaamini mpaka nione hicho kiwanda cha Mkundi kimeanza kujengwa! Na hivi nitakuwa sijahama Kihonda Magorofani nitakuwa nafanya monitoring kwa ukaribu! Ha ha ha haaaa Thomaso de'Jesus mimi!!
Si ndo hela ya kuanzia hiyobil 21 tu!, / kumbe viwanda hivi ni very cheap!.sio kama cha cements.
Mkuu. Acha chukiManji ni mwizi mwezi sana
Unamuweka Rockefeller family na Bill Gates na Donald Trump ni sawa na kuiweka US na Commoro na Zanzibar.Binafsi jamaa huyu uwa simchukulii seriously, mara ngapi anatagazaga kuanzisha miradi kabambe inaishia kwenye makratasi tu!!!
Kamsikia Rais anazungumzia kuwa bega kwa bega na muwekezaji wa uhakika Mzee Bakheresa alafu yeye anataka kutuletea matumaini ya kufikirika tu, hivi anawezaje kujenga viwanda vitatu vya uzalishaji Sukari kwa mpigo - hata Rockerfelker, Donald Trump au William(Bill) Gate hawezi kufanya kitu kama hicho Manji anayo yasema are too good to be true which is TRUE - angeyasema haya kwa watu ambao hawako well versed kwenye masuala ya Sugar Industry ni rahisi kuhadaika.
Manji bwana! Mbona sijawahi kumsikia akizungumzia masuala ya kilimo na ufugaji yeye anajikita kwenye real Estates anafanya ujaja janja kwa kushirikiana na mifuko ya hifadhi ya jamii alafu anawauzia jengo hilo hilo na kupata hyper profit anachukua ofisi humo humo mpaka wanafikishana mahakamani!! Wala asiende kwenye hifadhi ya mifuko ya jamii na kuwambia wawekeze kwenye Sugar Industry wai-run kama joint venture - hifadhi za jamii ziwe makini sana katika kuwekeza kwenye viwanda.
Manji kama anataka kwenda kuwekeza Pemba na Zanzibar sawa, lakini hili la kutaka apewe aridhi kubwa Morogoro nashauri Serikali hilo ilifikirie mara mbili, simsemi vibaya ila tuangalie track record zake za siku za nyuma zikoje? Mambo ya Coco Beach ya kutaka kutuniana musuli na Serikali yasije yakajirudia tena, hayo ni maoni yangu nayasema kwa nia njema tu sina bifu nae.
Wapi mmepata taarifa za quality group kuomba kiwanja popote?!Unamuweka Rockefeller family na Bill Gates na Donald Trump ni sawa na kuiweka US na Commoro na Zanzibar.